Afisa Utumishi Halmashauri Nzega anatafuna watumishi wake

Afisa Utumishi Halmashauri Nzega anatafuna watumishi wake

Sasa kama hata kazi zenyewe walipata kwa kugongwa,unafikiri wataacha hako kamchezo ili waendelee kubebwa zaidi.

No pain,no gain ndio sheria ya mchezo.
 
Ni kweli ulisemalo,maafisa rasilimali watu wengi wanawavua kyupi sana madada zetu! Takukuru na ofm(shigongo) ingieni mzigoni mumuumbue jamaa.

Hawalazimishwi. Wanataka kupanda cheo pasipo kufuata utaratibu. Hizo ndizo rushwa za ngono. Hici UKIMWI bado upo? Siku hizi siwasikii watu wakiuzungumzia. Naona ebola imechukua nafasi yake.
 
Katika pitapita zangu nimejifunza kuwa maafisa utumishi wengi wa kiume ni malaya na hutumia vyeo vyao kuwadhalilisha wafanyakazi wa kike kijinsia. Tabia hiyo chafu amekuja nayo pia Bwn.

Aloyce HRO aliyehamia Nzega. Mkuu huyu anaichachafya Halmashauri kwa kucharaza bakora wadada. Kwa kipindi kifupi amefanikiwa kuvunja ndoa 5 ikiwepo ya dada mmoja afisa mipango msaidizi.

Bosi huyu amefanikiwa kugonganisha wakuu wa idara wa kike kwa kutembea na mmoja mmoja. Amefanikiwa kumuhamisha Mkaguzi wa Ndani baada ya kuzuka ugomvi kati yao baada ya HRO kumtaka mke wa jamaa.

Ninayo mengi, niwaombe PCCB ilifanyie kazi swala hili kwani watumishi wa kike wananyanyasika kijinsia pindi wanadai stahili zao. Kaka Kwezi data zako system inazo na inazifanyia kazi na utavuna unakipanda.
hii ni vita ambayo kiutendaji italeta madhara makubwa sana kama wahusika wasipochukua nafasi ya kukaa na kujadiri kuhusu utaratibu mzima wanaouunda ni maswala yanayozungumzika kama vile ambayo huwa wanaweza kusolve maswala mengine ya kiutendaji...naamnin wote no oveage hapo so kaeni chini oneni tatizo lipo wapi mmalize vinginevyo mtaatiri familia zenu na utendaji wenu
 
Vp afya ya huyo afisa utumishi ni nzuri kwa sasa? Maana huko alikotoka zipo tetesi kwamba alishajiunga ktk grid ya taifa ya kusambaza umeme.
 
Aloyce kwezi hawezi kuvunja ndoa za watu,huko ni kumchafua tu. Namfahamu vizuri katika kuheshimu ndoa ya mtu.
 
Katika pitapita zangu nimejifunza kuwa maafisa utumishi wengi wa kiume ni malaya na hutumia vyeo vyao kuwadhalilisha wafanyakazi wa kike kijinsia. Tabia hiyo chafu amekuja nayo pia Bwn.

Aloyce HRO aliyehamia Nzega. Mkuu huyu anaichachafya Halmashauri kwa kucharaza bakora wadada. Kwa kipindi kifupi amefanikiwa kuvunja ndoa 5 ikiwepo ya dada mmoja afisa mipango msaidizi.

Bosi huyu amefanikiwa kugonganisha wakuu wa idara wa kike kwa kutembea na mmoja mmoja. Amefanikiwa kumuhamisha Mkaguzi wa Ndani baada ya kuzuka ugomvi kati yao baada ya HRO kumtaka mke wa jamaa.

Ninayo mengi, niwaombe PCCB ilifanyie kazi swala hili kwani watumishi wa kike wananyanyasika kijinsia pindi wanadai stahili zao. Kaka Kwezi data zako system inazo na inazifanyia kazi na utavuna unakipanda.

Kosa sio la HRO bali hao watumishi wa hapo wanawake ndo malaya! nawashauri wanaume msipoteze muda wenu kupambana na huyo jamaa ila pambaneni na hao wake zenu wasiojiheshimu! inawezekana hata kwingine wanagawa sana sasa sijui utapambana na wangapi!
 
Ni kweli hata wanawake wanaofanyiwa vitendo hivyo wanamakosa. Lakini kunauwezekano wa kuwepo aina fulani ya force ili bwana huyu afanikiwe kupata anachokitaka.Ukiangalia wote wanaohusishwa kufanyiwa vitendo hivyo ni wakuu wa idara na wasaidizi wao. Si uungwana hata kidogo kutumia cheo kulazimisha mapenzi. Yasemwayo ni mengi, ni vema bwana mkubwa Aloyce Kwezi akajipima na kujitasmini juu ya shutuma hizi ili asije kujikuta ktk majanga zaidi.
 
Ukiwa afisa utumishi wa halmashauri na ukakosa kupata ukimwi we jembe

Tehhh kwa kweli.. Maana chupi mda wote zinapita.. Na wengine wanajipendekeza kabisaaaaaa

maana ukweli ni kuwa wadada wengi wa ofsn hupenda watu wenye madaraka ambao watatua shida zao za kiofisi kwa urahisi n.k

huona ufahari kutembea na HR
 
Co tu maafisa jmn hata mtu akikabiziwa kaofs tu antumia hako ka cheo kunyanyasa wNawake na ukionekana una msimamo utajuta
 
Katika pitapita zangu nimejifunza kuwa maafisa utumishi wengi wa kiume ni malaya na hutumia vyeo vyao kuwadhalilisha wafanyakazi wa kike kijinsia. Tabia hiyo chafu amekuja nayo pia Bwn.

Aloyce HRO aliyehamia Nzega. Mkuu huyu anaichachafya Halmashauri kwa kucharaza bakora wadada. Kwa kipindi kifupi amefanikiwa kuvunja ndoa 5 ikiwepo ya dada mmoja afisa mipango msaidizi.

Bosi huyu amefanikiwa kugonganisha wakuu wa idara wa kike kwa kutembea na mmoja mmoja. Amefanikiwa kumuhamisha Mkaguzi wa Ndani baada ya kuzuka ugomvi kati yao baada ya HRO kumtaka mke wa jamaa.

Ninayo mengi, niwaombe PCCB ilifanyie kazi swala hili kwani watumishi wa kike wananyanyasika kijinsia pindi wanadai stahili zao. Kaka Kwezi data zako system inazo na inazifanyia kazi na utavuna unakipanda.
Kweni hao wanawake anawabaka au wanatongozwa kwasababu ya udhaifu wao wanakubali naye anawagonga,

Yeye HR ndio majukumu yake ila inaonyesha ni mwanaume aendelee kuwagonga tu si wanampa wenyewe ila fanya kazi yetu vizuri pia usiwagongee ofisini,wapeleke gest.

Pia nakushauri wewe jamaa uliyeweka Uzi huu acha wivu wa kitoto nawewe si uwatongoze tu.

Ushauri wa bure tumua kondom usije kufa kwa ukimwi.
 
Mkubwa anyanyaswi kijinsia wala kubakwa kile anachokitaka ni haki yake lakini kuna taratibu za kufuatwa sasa hili kuzipata kwa haraka inabidi atoe pozo hiyo wala si haram kwa mlaji inaitwa Taklima {taq'limah}
 
Hivi sijui ni elimu za kuunga au uoga ama njaa zinatusumbua kina mama mtu unakuta anafaham kabisa uozo WA Huyo afisa lakin na yeye anampa kwan ukikomaa ukakataa itakuwaje?

Italiwa na nyenyere si bora umpe aliyehitaji.
 
Back
Top Bottom