Afisa Utumishi Halmashauri Nzega anatafuna watumishi wake

Afisa Utumishi Halmashauri Nzega anatafuna watumishi wake

Katika pitapita zangu nimejifunza kuwa maafisa utumishi wengi wa kiume ni malaya na hutumia vyeo vyao kuwadhalilisha wafanyakazi wa kike kijinsia. Tabia hiyo chafu amekuja nayo pia Bwn.

Aloyce HRO aliyehamia Nzega. Mkuu huyu anaichachafya Halmashauri kwa kucharaza bakora wadada. Kwa kipindi kifupi amefanikiwa kuvunja ndoa 5 ikiwepo ya dada mmoja afisa mipango msaidizi.

Bosi huyu amefanikiwa kugonganisha wakuu wa idara wa kike kwa kutembea na mmoja mmoja. Amefanikiwa kumuhamisha Mkaguzi wa Ndani baada ya kuzuka ugomvi kati yao baada ya HRO kumtaka mke wa jamaa.

Ninayo mengi, niwaombe PCCB ilifanyie kazi swala hili kwani watumishi wa kike wananyanyasika kijinsia pindi wanadai stahili zao. Kaka Kwezi data zako system inazo na inazifanyia kazi na utavuna unakipanda.

Aiseeh hiyo taarifa ni ya muda, unaweza kutoa jina la mwanadada Afisa mipango msaidizi aliyevunjiwa ndoa yake? Pia unaweza kutoa jina la Mkaguzi wa Ndani aliyehamishwa na DHRO huyo wa Nzega kwa kipindi hicho? Pliz shuka majina ya waathirika hao na wengine kama unawafahamu maana humu members ni wengi.
 
Ukisikia yalaaah tena gizani..jua kuna mtu kashaumizwa,poleni
 
Karubu idadi kubwa wa maafisa utumishi hasa wa kiume wana tabia hii,na wanafanya hivyo kwa nafasi waliyo nayo na watumishi wanawake wanakubali kufanyiwa hivyo ili wapate maslahi.Mfumo ndivyo hivyo ulivyo.
 
Nasikia huyu dhro ni mkurugenzi wa mabikra Kilolo kama hii ni kweli mliopo halo Kilolo tunaomba mtuambie mdhro huyo katusua bikra ngapi awamu ya tano na kama kweli yupo huko tumwombe Waziri Wa mambo ya nje Wa USA Pompey ampige stop asifike hata ipogoro iringa Mjini ili aemdelee kula wajinga wenzake huko Kilolo ofisini
 
Hivi sijui ni elimu za kuunga au uoga ama njaa zinatusumbua kina mama mtu unakuta anafaham kabisa uozo WA Huyo afisa lakin na yeye anampa kwan ukikomaa ukakataa itakuwaje?
Unawafahamu wanawake wewe? maeneo ya kazini ukitaka uwagonge kwa wingi we gegeda wawili watatu ..wengine wakishajua basi nao watataka......hapo hakuna kesi sababu hao ni watu wazima na wanavua vyupi vyao wenyewe......kinachowaponza ni kutaka kushindana na kukomoana
 
pole mtoa mada naona umegongewa mkeo ...povu kama lote.....lakini alivua chupi mwenyewe hakuna kesi hapo mkuu
 
Back
Top Bottom