Afisa Utumishi Halmashauri Nzega anatafuna watumishi wake

Afisa Utumishi Halmashauri Nzega anatafuna watumishi wake

Hapana Ethics za kazi ni muhimu kufuatwa, hata kama wanakubali wenyewe, yawezekana wanakubali kwa "hofu" "ushawishi" nk.
 
Hapana Ethics za kazi ni muhimu kufuatwa, hata kama wanakubali wenyewe, yawezekana wanakubali kwa "hofu" "ushawishi" nk.
upo sahihi yupo dada aliyeripoti PCCB,ghafla akagonjwa na walipoendelea kuchunguza dada akawa hatoi ushirikiano maana dokezo lake lilifanyiwa kazi na HR
 
wakidada wengi wanapewa kazi wakiwa hawana sifa,hivyo ili kulinda kazi wanawakubalia wakuu zao,anajua akikataa,anaumbulia ila waliopewa kazi kwa sifa stahiki huwa na misimamo ingawa wengine wanatabia chafu.
 
mkuu huyu bila kutoa k hapitishi dokezo la madada

Huyu jamaa simjui ila mtakuwa mnamzushia! Maamuzi sehemu ya kazi hayafanywi na mtu mmoja na pia vipo vyombo kibao vya kutoa malalamiko haya na kama yana ukweli yakafanyiwa kazi. Ninachokiona hapa ni kuchafuana!
 
Huyu jamaa simjui ila mtakuwa mnamzushia! Maamuzi sehemu ya kazi hayafanywi na mtu mmoja na pia vipo vyombo kibao vya kutoa malalamiko haya na kama yana ukweli yakafanyiwa kazi. Ninachokiona hapa ni kuchafuana!
Mkuu kama una jamaa halmashauri ya Nzega piga simu.Mods wana mtandao mpnka wanaweza kuwasiliana,kama namzushia wanipe ban
 
Narudia kusema tena hao wa dada wanapenda wenyewe kwa njaa na tamaa zao. Jaribuni kufanya uchunguzi tu kuanzia vyuoni wapo wanafunzi wa kike wanaowatolea nje walimu viwembe wengine wanasap mara kibao, wengine wanarudishwa mwaka na wengine wanafelishwa kabisa lakini bado wanagoma hawatoi "k" sembuse hao wafanyakazi. Kwa mwanamke mwenye msimamo na mwaminifu kwanza atamwambia sitaki kuanzia usoni mpaka moyoni na atamaanisha hayo anayoyatamka na kinachofuata atamjulsha boyfriend/mume wake halafu muziki wake ataupata. Kama angekuwa anawabaka kwa nguvu ingekuwa habari nyingine lakini kwa kuwa wanakubali wenyewe hao sioni tatizo kwani hata vyuoni wapo wanajirahisi kapata maksi za bure na ndio zao la hilo huko makazini.
 
idadi ni ndefu ila kavunja ndoa 5,karibia avunje ndoa ya mkaguzi wa ndani,bif kali likazuka,akafanya mishe kumhamishia Simbo Katavi

Haaa! huyo mtu ni hatari sana,hapo kuna binamu yangu ana mkia wa kutosha,huenda pia amekita.Nilikuwa likizo,narudi kazini rasmi.
 
Katika pitapita zangu nimejifunza kuwa maafisa utumishi wengi wa kiume ni malaya na hutumia vyeo vyao kuwadhalilisha wafanyakazi wa kike kijinsia. Tabia hiyo chafu amekuja nayo pia Bwn. Aloyce HRO aliyehamia Nzega. Mkuu huyu anaichachafya Halmashauri kwa kucharaza bakora wadada. Kwa kipindi kifupi amefanikiwa kuvunja ndoa 5 ikiwepo ya dada mmoja afisa mipango msaidizi.

Bosi huyu amefanikiwa kugonganisha wakuu wa idara wa kike kwa kutembea na mmoja mmoja. Amefanikiwa kumuhamisha Mkaguzi wa Ndani baada ya kuzuka ugomvi kati yao baada ya HRO kumtaka mke wa jamaa. Ninayo mengi, niwaombe PCCB ilifanyie kazi swala hili kwani watumishi wa kike wananyanyasika kijinsia pindi wanadai stahili zao. Kaka Kwezi data zako system inazo na inazifanyia kazi na utavuna unakipanda.


Ndio maana mimi napenda mke wangu ajiajiri mwenyewe haya mambo yakuambiwa nimechelewa kutoka ila bosi wangu atanileta na gari kwasababu usafiri utakuwa unasumbua alafu mtu anaingia nyumbani saa tatu usiku sio ishu wala nini na hawa majamaa ndicho kigezo wanachokitumia kuwarubuni wake za watu.
 
Unataka agonge Dada zetu?? Mwache anakula vya nyumbani bana
 
Humu makazini wadada wengi sana wanapenda favor yani kila kitu lazima apate msaada. Utakuta ofisini kapewa kakazi kidogo tu na bosi wake basi kwa uvivu wake atamtafuta kijana amsaidie. Sasa huyo kijana akishamsaidia mwisho na yeye anaomba malipo na ili yule kaka aendelee kumsaidia wala haoni shida kumpa K. Sasa hapo mwenye kosa nani kijana au mdada mvivu? Kina dada tumieni elimu yenu vizuri muache kuwa wavivu wavivu kila kitu msaada hata kama hiyo K haina uchakavu basi ata utu wako tu uutunze utawapa wangapi hiyo K mpaka uje ufe? Kuweni wajasiri jamani tunawathamini nyie ndiyo mama zetu na dada zetu mnatuaibisha jamani.
 
mkuu Ethics unazijua?tambua pia kuna watu wanakosa haki zao kwa kumnyima k bosi.unanyimwa kwenda kusoma,likizo nk.halafu wewe hujagongewa mkeo ndo uunge mkono huu upuuzi
Huu ni wivu tu kwa HRO wa watu. Wanawake hao sio under 18 hivyo wanajua vizuri sheria na ethics za kazi. Je, wamelalamika kwako au jamaa kakuzidi kete unaanza kuleta umbea humu.
 
Back
Top Bottom