Afia Nyumba ndogo Kinondoni.....Uongo una mwisho

Afia Nyumba ndogo Kinondoni.....Uongo una mwisho

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,787
Reaction score
37,992
So sad wapendwa,

Jirani yangu Mpendwa ambae ni dreva wa malori amefia kwa mwanamke ambaye ni hawara.
Ndugu yangu huyu ambaye amekuwa msaada kuniletea mkaa na nyanya.

Kijana huyu ambaye ameoa na ana watoto wawili. Amekuwa akimdanganya mkewe anasafiri kumbe alikuwa haendi safari zaidi ya kwenda kwa hawara yake Kinondoni.

Majuuzi ameaga anaenda kongo, Kila mtu akijua yuko kongo lakini leo mchana mdogo wake akapigiwa simu kuwa kaka yake kafariki, nae akampigia mama mwenye ndoa kwamba mumeo kafia Kinondoni.

Wakati wanaelekea kuchukua mwili wa marehemu wakiwa njiani wakampa ukweli mkewe kuwa jamaa afia kwa mwanamke ...Loh mama anajiuliza mbona aliaga anaenda Congo jamani!!

Habari ndiyo hiyo, mkiaga mjue Mungu anawaona so mkiwa na nyumba ndogo wapeni namba ya emergency ikitokea tatizo wajue wapi kuanzia.
 
Kafa kishujaaaaa,usichonge sana huwezi kujua huko alifuata nini.Unaweza kukuta home mke ni kinanda kila siku anazua mapya halafu akae hapo afanye nini?kuslimishwa ni hiari ya mtu na kufa kila mtu atakufa haijalishi utafia wapi kifo ni kifo tuu(mwenzio akinyolewa wewe tia maji)
 
Mbona unatweta na sredi ya urongo !!!!""'""!!!
 
umeanza kwa kusema jirani yangu ambaye ni dereva kana kwamba hajafa au kiswhili kinakutupa?
 
umeanza kwa kusema jirani yangu ambaye ni dereva kana kwamba hajafa au kiswhili kinakutupa?
Huyo jamaa akiandikaga thread zake ni ngumu sana kumwelewa kutokana na aina ya uandishi anaotumia. no space, no full stop, no comma etc.
 
pole kwa msiba...jifunze na wewe kutochepuka utatapika badala ya kufa kwa kimada
 
bonge la shujaa....lala mahala husika shemegi dereva
 
mi naona wanaume mngeruhusiwa kuoa wake wa5 kila mwanamme ana michepuko zaid ya1,,, anzia ma beki3 na kuendlea.. sjui km kuna mwanaume anakosa mchepuko
 
mi naona wanaume mngeruhusiwa kuoa wake wa5 kila mwanamme ana michepuko zaid ya1,,, anzia ma beki3 na kuendlea.. sjui km kuna mwanaume anakosa mchepuko

Mm mchepuko siwezi, na sifikirii kuja kuwa mchepukaji. Ila nampa pole yake huyo mjane.
 
bado na kombe la Dunia tutawazika wazinzi wengi tu.
 
Mungu amuweje mahali panapomstahili na ampunguzie machungu ya kutokwa na roho. Haya mambo ya michepuko kwa madereva na kila mwanaume kamili tuyakemee sana ikibidi tu bora uwe muwazi kumiliki wake wengi kihalali nao pia watambue kuwa wapo wangapi lkn michezo ya kujificha ficha hii ni hatari sana.
 
mi naona wanaume mngeruhusiwa kuoa wake wa5 kila mwanamme ana michepuko zaid ya1,,, anzia ma beki3 na kuendlea.. sjui km kuna mwanaume anakosa mchepuko

Hata waruhusiwe kuoa wake 12 watachepuka tu. Vidudu vyao vinawasha muda wote. Na wana tamaa sana. Wasione kichaka lazima mavi yawabane
 
Hata waruhusiwe kuoa wake 12 watachepuka tu. Vidudu vyao vinawasha muda wote. Na wana tamaa sana. Wasione kichaka lazima mavi yawabane

kumkuta mwanaume hana mchepuko labda mkewe amloge ngoma isinyanyuke akikutana na mchepuko la si hvyo,aghrr
 
Hata waruhusiwe kuoa wake 12 watachepuka tu. Vidudu vyao vinawasha muda wote. Na wana tamaa sana. Wasione kichaka lazima mavi yawabane

We mtoto tutake radhi kuna babazako humu. Hata hivyo mwanamke mmoja hatoshi hata kwenye bible zamani walioa wake wengi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom