mimitungi
JF-Expert Member
- May 14, 2013
- 738
- 261
Swadakta, mchepuko siyo dili. kwani mchepuko lazima? Akome...Tupo wengi tu (wanaume tusiochepuka)!
Swadakta, mchepuko siyo dili. kwani mchepuko lazima? Akome...Tupo wengi tu (wanaume tusiochepuka)!
du ipo siku tu utachepuka.kama kweli hongera! maana wanaume wakikaa cku 3 hajaskia harufu ya papuch anaona mapichapicha
una matatizo gani?
hahahaaaaaaa,daaa kazi ipodu ipo siku tu utachepuka.kama kweli hongera! maana wanaume wakikaa cku 3 hajaskia harufu ya papuch anaona mapichapicha
We mtoto tutake radhi kuna babazako humu. Hata hivyo mwanamke mmoja hatoshi hata kwenye bible zamani walioa wake wengi.
du ipo siku tu utachepuka.kama kweli hongera! maana wanaume wakikaa cku 3 hajaskia harufu ya papuch anaona mapichapicha
tatizo GUBU nyumbani
kwanini usiende mahali ambako mwanamke anakujali
unabebwa mgongoni na kuogeshwa kwa marashi ya Pemba
kweli KAFA KISHUJAA katika kuliongeza Taifa na Dunia
So sad wapendwa,
Jirani yangu Mpendwa ambae ni dreva wa malori amefia kwa mwanamke ambaye ni hawara.Ndugu yangu huyu ambaye amekuwa msaada kuniletea mkaa na nyanya.
Kijana huyu ambaye ameoa na ana watoto wawili. Amekuwa akimdanganya mkewe anasafiri kumbe alikuwa haendi safari zaidi ya kwenda kwa hawara yake Kinondoni.
Majuuzi ameaga anaenda kongo, Kila mtu akijua yuko kongo lakini leo mchana mdogo wake akapigiwa simu kuwa kaka yake kafariki, nae akampigia mama mwenye ndoa kwamba mumeo kafia Kinondoni.
Wakati wanaelekea kuchukua mwili wa marehemu wakiwa njiani wakampa ukweli mkewe kuwa jamaa afia kwa mwanamke ...Loh mama anajiuliza mbona aliaga anaenda Congo jamani!!
Habari ndiyo hiyo, mkiaga mjue Mungu anawaona so mkiwa na nyumba ndogo wapeni namba ya emergency ikitokea tatizo wajue wapi kuanzia.
Hata waruhusiwe kuoa wake 12 watachepuka tu. Vidudu vyao vinawasha muda wote. Na wana tamaa sana. Wasione kichaka lazima mavi yawabane
Mawazo yako ni mazuri ila unaweza kukuta Si wanawake wote mna GUBUna ukiKweli inawezekana mkeo ana gubu. Lkn utambue kuwa kuna wanaume ambao ni kero pia kwa wake zao. Sasa mke naye akichepuka inakuaje? Kaa ukijua kuwa km wewe unachepuka and the vice versa is also true!
Aliyekwambia mwanaume mmoja anatosha ni nani?
Kwani na wewe my wife huwa unachepukaga?Kweli inawezekana mkeo ana gubu. Lkn utambue kuwa kuna wanaume ambao ni kero pia kwa wake zao. Sasa mke naye akichepuka inakuaje? Kaa ukijua kuwa km wewe unachepuka and the vice versa is also true!
Mwelleze aombe radhi sie kwa wakezetu ndio vinasimama kwingine chooni vikiwanna mkojo tena wankubana