Manchester United yaipiga Liverpool 4-3 Robo Fainali ya FA Cup, Machi 17, 2024

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,460
Manchester United imefanikiwa kuingia Nusu Fainali ya Kombe la FA (FA Cup 2023/24) kwa ushindi wa magoli 4-3 dhidi ya Liverpool kwenye Uwanja wa Old Trafford, mchezo ambao umechezwa dakika 120 baada ya matokeo ya 2-2 katika dakika 90.

Kwa matokeo hayo, Man United imeungana na Coventry City, Manchester City na Chelsea katika Nusu Fainali.

Tangu Liverpool iliposhinda magoli 7-0 dhidi ya Man United, Machi 5, 2023, timu hizo zimekutana mara mbili ambapo matokeo yalikuwa 0-0 na hii ya magoli 4-3, leo Machi 17, 2024.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom