Timu za hamasa zisiwepo,ahadi za pesa zisiwepo,Bali wachezaji wapewe huduma staiki na posho nzuri zisizo na matangazo ya kwenye media,kocha asiingiliwe kwenye kupanga vikosi na kuita wachezaji,Mpira na siasa vikae mbali MFano kusiwe na upuuzi WA Goli la mama,wachezaji na Mashabiki WA kigeni wafanyiwe figisu ikibidi kuwaloga kama itawezekana maana Hii NI jadi ya kiafrica,wachezaji walipambanie Taifa Kwa jasho na damu ikibidi kikosi cha Taifa starz kiachane na wachezaji waliowahi kulifelisha Taifa, me yangu hayo tu