AFCON 2013: Closing ceremony and Finals

AFCON 2013: Closing ceremony and Finals

Pacha wangu Dark City,
You truly deserve kuwa ripota wa kujitegemea hususan masuala ya soka yaani 'live'.
Ahsante kwa coverage zako ktk final match ya leo, heshima mbele.

Big up to the Super Eagles!

Ahsante sana pacha...ila mie na utaafu huu naweza haya mambo?

Nimebahatisha bahatisha kwa leo..
 
Kombe limeshakabidhiwa...

Ahsanteni nyote kwa kampani....

Mungu awabariki na atupe uzima tukutane Morocco baada ya miaka 2....

Love u all.....

Babu DC!!
 
Sherehe za kufunga AFCON 2013 ndo zinaendelea....

Performance ni nzuri sana....

Match imekwisha na Nigeria ndiyo mabingwa wapya wa Afrika kwa 2013...

Final score: NGA 1 - BFA 0

Mod naomba msiunganishe na uzi mama kwa sasa

00151053:21ad51289c3262e1f0839c65c7c6c62f:arc614x376:w614:us1.jpg

NationalStadium.jpg.ashx

attachment.php

View attachment 82725

Hureeeeeeee....!!!
Nigeria, finally u hav made it.
Hongereni, sisi Bongo bado tupo kwenye zama za fitna hatujawafikia.
 
well done to nigeria..i wanted burkina fasso to win coz i always support the underdogs and i dont blive nigeria were deserved winners anyways bt am glad the african cup is over we can all get back to our normal lives..
 
Pole for the pains. But to remaind u, Km Nig na Bukinaf wote walifanikiwa kuingia fainali, means wote walidesrve kushinda.

Now kushinda kulikuwa mikononi mwa wachezaji, na km umeangalia mpira vizuuri, obvious NIG walikuwa na nafasi kubwa ya kushinda, na wangefunga bao za kutosha tu.Na wamecheza game nzuri. Haikuwa bahati ya Bukinaf.
 
Kwa mpira walioucheza Nigeria leo, waliDeserve ushindi kabisa.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
aiss Sumu hivi matokeo ya yanga na african lyion yakoje?

Ya Yanga sijayapata mkuu Zamaulid, ninayo ya Azam na Mtibwa.

Mtibwa Sugar 1 - 4 Azam F.C.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Ya Yanga sijayapata mkuu Zamaulid, ninayo ya Azam na Mtibwa.

Mtibwa Sugar 1 - 4 Azam F.C.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
kuna jamaa kaniambia mechi itachezwa jumatano!!!
 
Back
Top Bottom