KOKUTONA
JF-Expert Member
- Jan 29, 2011
- 8,651
- 6,110
Naona kama BFA wamekubali kichapo...
Sioni dalili za Nigeria kuukosa ubingwa..
Bado dak 3
Mtangazaji wetu wa mpira siku ya leo. Ahsante sana, tumefurahia utangazaji wako wa moja kwa moja toka SA.
Barikiwa sana, vp wewe ulikuwa unaipa ushindi timu gani?