Ivonya-Ngia
JF-Expert Member
- Jul 16, 2009
- 703
- 385
Hongera Nigeria, hongereni pia wana Burkinabe mmeonyesha mnaweza na mmetupa fainali yenye upinzani.
KOKUTONA kwa nini timu yako ya Taifa unalo ishi inafanya vizuri mechi za kupimana ubavu kwenye michuano ya kushindana inakuwa msindikizaji hata Somalia inaweza kuifunga?Ha ha haaaa, ila usijali sana, kuwa mshindi wa pili pia mmejitahdi. Kuingia finale pia ni ushindi.
Nigeria mpira umeisha kabisa,wameshinda ila kiwango chao sio kama kile!wanaogopa hata kivuli chao,wanapoteza mipira baada pasi 3 tu tena wanampa adui!waimarishe under 20 na 23 labda itawaokoa!Egypt najua wanajipanga sana sasa!subiri miaka 3 hivi!
nafikiri ulikuwa unazungumzia ndoo ya kutekea maji.Leo Burkina Beee wanabeba ndoo
nafikiri ulikuwa unazungumzia ndoo ya kutekea maji.
hivyo hivyo mkuu utabiri wa kiramli ramli:becky: huu ulikuwa utabiri kama wa marehemu sheikh
hivyo hivyo mkuu utabiri wa kiramli ramli
mkuu kwa bukinabe kuchukua kombe ilikuwa ngumu sanando maanake je wangebeba ndoo si ungenisifu nimepiga ramli vizuri
fidel una uchokozi na TTFF wewe. Tatizo la Tz moja,siasa imeingia kila mahali, mbili viongozi walio wengi ndani ya organizations za mpira wanaingia kwa self interest, wadhamini na sponsors pia wanadhanimi mpira pale tu matakwa yao yanapotimizwa. Commitment na accounatability pia ni shida. Utaifa pia haupo. Kila mtu anaangalia ataingiza nini mfukoni.KOKUTONA kwa nini timu yako ya Taifa unalo ishi inafanya vizuri mechi za kupimana ubavu kwenye michuano ya kushindana inakuwa msindikizaji hata Somalia inaweza kuifunga?