Daaah praying for the Super Eagles!
Am supporting Nigeria, jamani nipo remotted area yaani tv ya kijiji imegoma haikamati DSTV huku Runzewe-Biharamulo.
Yaani nawapenda woote but Nigeria wakishinda nitafurah zaidi.
BUKINABEE walinifurahisha saana walivyocheza na GHANA.
mpira bado unadunda, let see.
Naona kama BFA wamekubali kichapo...
Sioni dalili za Nigeria kuukosa ubingwa..
Bado dak 3
Safi sana, akina mama mkiwezeshwa mnaweza
Dakika ya 87. Matokeo ni vilevile. Keep on praying.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Umeona eeee, Sasa hvi naona mioyo ya Wanig inavyodunda. Wanatamani refa aseme pyuuuuu