U17: Tanzania yaichapa Cameroon mabao 4 kwa moja

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,494
24,418
23 May 2022
Yaoundè Cameroon


Je U17 Serengeti Girls kuandika Historia kwa kupata tiketi ya Kushiriki michuano ya Kombe la Dunia 2022


Nchi za Tanzania pamoja na Ghana, Nigeria zimejisogeza katika nafasi nzuri za kujinyakulia tiketi za timu zitakazowakilisha bara la Afrika katika michuano ya kombe la dunia India 2022.

Timu zote zimeshinda michezo yao ya awali kwa Ghana kuibuka na ushindi dhidi ya Morocco bao mbili bila huku Nigeria ikishinda kwa ushindi wa bao moja dhidi ya Ethiopia huku Tanzania ikishinda ugenini kwa kuichapa timu ya Cameroon mabao 4 kwa moja.

u17
Photo : Tanzanians dominated the Cameroonians 4- 1 first leg match U17 female world cup

Timu ya Ghana inaelekea Rabat Morocco huku Nigeria ikienda Addis Ababa Ethiopia na timu ya Tanzania itaikaribisha Cameroon uwanja wa nyumbani wa Amaan mjini Zanzibar .

Michuano hiyo ya wanawake chini ya miaka 17 yaani U17 World Cup India 2022 itafanyika baadaye mwaka huu.

Mshambuliaji Clara Cleitus Luvanga anaongoza kwa kupachika mabao 10 mpaka sasa ktk michuano hiyo ya kimataifa kuwania tiketi kuelekea India huku mfugaji anayeongoza kwa U17 wanawake duniani ni Rosa Maalouf wa kutokea Canada ambaye amezifumania nyavu mara 12 na Clara Luvanga wa Tanzania ameshika nafasi ya pili.

Timu ya Tanzania, tarehe 5 Juni 2022 ya wanawake U17 itatupa karata yake muhimu ya kuiandikia historia taifa la Tanzania kwa kuwa miongoni mwa nchi toka Afrika zitakazoshiriki michuano ya kombe la dunia U17 upande wa wanawake kwa kucheza mechi ya marudiano mjini Unguja.

BREAKING NEWS
Updates 05 June Saturday, 2022 09:58 PM


NIGERIA NA MOROCCO WAFANIKIWA KUPATA TIKETI ZA FAINALI KOMBE LA DUNIA, HUKU TANZANIA IKIJARIBU KUANDIKA HISTORIA KTK MECHI YA JUMAPILI 5 JUNI 2022

Nigeria and Morocco are through to India 2022™​

Nigeria U17 Women

Nigeria and Morocco booked their places for the 2022 FIFA U17 Women's World Cup™ in India on Saturday 4th of June 2022 following positive second leg results in the final round against Ethiopia and Ghana respectively.

Before now, Nigeria had claimed a 1-0 victory over the Ethiopians in Addis Ababa thanks to Opeyemi Ajakaye's first half strike, while Morocco suffered a 2-0 defeat to Ghana in Accra.

However, the Nigerians were held to a goalless draw by Ethiopia in Abuja to earn their qualification as the Moroccans secured a 4-2 win via penalties against the Ghanaians after overturning a two-goal deficit in Rabat to earn their first ever ticket.

Nigeria Ethiopia U17 Women

At the Moshood Abiola Stadium, the Flamingos look anxious to secure a double over the Ethiopians but the visitors will have in-form goalkeeper Abeba Ajibo to thank as she kept the pouring hosts at bay for the entire duration of the encounter.

As expected, Omowumni Bello, Taiwo Afolabi, Tumininu Adeshina and Ajakaye came close on many occasions but Ajibo put up an outstanding display in goal to deny them.

On the other hand, the visitors also enjoyed their high moments, with their best chance coming before the half time break when Kumneger Kebede hit the woodwork but the hosts held on firmly to guarantee their return to the showpiece after 2018 absence.

Ghana Morocco U17 Women

In Rabat, the Moroccans sought to overturn a two-goal deficit from their defeat at the Accra Sports Stadium and started brightly through Fatima El Ghazouani's 15th minute opener and missed a chance from the spot three minutes before the break.

After the restart, the North Africans resumed the contest on a high and profited from keeper Afi Amenyeku's blunder to double their lead courtesy of Samya Mansaoui in the 47th minute.

The hosts pushed for another but keeper Amenyeku made up for her earlier blunders to keep the visitors in the mix as they dragged the game into penalties after a 2-2 aggregate score.

A 4-2 win on penalties means Morocco are through to India 2022, having broken their final round losing jinx at home.

Source : Nigeria and Morocco are through to India 2022™ | CAFOnline.com.
 
05 June 2022
Zanzibar, Tanzania

the Under 17 Indomitable lionesses of Cameroon ready to face Tanzania's U17 Serengeti Girls

1654415668901.png
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Kila la kheri Tanzania.
Pia namtakia mema Clara awafunge hawa waliomchungulia nyeti zake
 
Hii mechi ilikuwa ni ya kupigwa "kwa Mkapa"..
Kuipeleka Zanzibar ni uzembe mkubwa sana, hapa Cameroon na Tanzania wote ni wageni wakicheza Zenji.
Hii ni Advantage kwa Cameroon..
 
05 June 2022
Zanzibar, Tanzania

Amaan Stadium

Dakika ya 46' Goal Serengeti Girls 1 - 0 Indomitable lionesses

l'actualité sportive / sports news Updates :

5 june 2022 en direct: tanzanie 1 - 0 cameroun - éliminatoires coupe du monde féminine u17

 
05 June 2022
Zanzibar, Tanzania

Amaan Stadium

Dakika ya 46' Goal Serengeti Girls 1 - 0 Indomitable lionesses

l'actualité sportive / sports news Updates :

5 june 2022 en direct: tanzanie 1 - 0 cameroun - éliminatoires coupe du monde féminine u17


Naam mkuu tunaenda World cup?
 
Back
Top Bottom