Bahati nzuri yuko na kaka yako fidel 80 hapa...naona yuko shapu kuliko sie wa analogia...
Kwenye kisimbuzi cha Star times kuna channel inayoonyesha?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Anajitahidi sana kwa kweli kutupa updates. Mmenipa midadi, na mimi naenda kulipia kiingilio niangalie.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Unaona mkuu...daki 31 huzo na vijana wanazidi kuwatesa....
Leo naona kama wazee wazima wanaweza kupumulia mashine..
Nigeria wamefunga goli
Nimeamua kuja kulipa 500 niCheck mechi. Nigeria inachukua kombe.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Wakibeba Bukina bee je?