Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,944
- 4,511
Madogo naona sasa wameamua kucheza...liwalo na liwe..
Kipindi cha pili kitakuwa moto moto
Madogo naona sasa wameamua kucheza...liwalo na liwe..
Kweli kabisa...ngoja nifanye maandalizi kabisa kabisa...
TV Mozambique wanaonyesha via satellite dish,sasa sijui kwenye king'amuzi chako ipi hiyo TV M
Mkuu unajiamini nini??
Hawa jamaa wanaweza kumvua mtu mzima nguo hadharani hawa.....siwaamini kabisa baada ya kumtesa Ghana!!
TV Mozambique haipo kwenye package ya elfu tisa ya Star times. Nimeamua kuja kuangalia wa kulipia mia tano.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Nigeria amekosa goli....
Haya sasa mkuu...second half ndo hiyo....
Wenzio tumeamua kujikalia kati....