Nani nyota wa mchezo so far?
TV Mozambique haipo kwenye package ya elfu tisa ya Star times. Nimeamua kuja kuangalia wa kulipia mia tano.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Siyo mbaya pia, bora usikupite.
Pamoja mkuu wangu. Uko upande gani? Nigeria au Burkina?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Victor Moses anaonekana kuwa nduye best wa NGA...
Am supporting Nigeria, jamani nipo remotted area yaani tv ya kijiji imegoma haikamati DSTV huku Runzewe-Biharamulo.
Hahahahahahahahah,
Mna pesa ya kumlipa Mrusi wa The Blues??
Labda Rage na Kinana wauze tembo wote wa Tanzania....lol!!
Babu DC!!
Nigeria wanaongoza goli moja kwa bila. Mechi ni kali sana. Dakika ya 76 sasa hivi.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums