AFCON 2013: Closing ceremony and Finals

AFCON 2013: Closing ceremony and Finals

Huyu refa mwarabu au mzungu? Jamani wenye king'amuzi wanaonyesha?
 
Kona ya kwanza ya Nigeria ila kipa kaipanchi...

Mpira bado haujatulia kabisa..
 
Nigeria walipata free kick nzuri ila naona mchezaji wao kapiga kichwa na kupaisha mpira juu ya goli..
 
Refa filimbi nyingi nyingine awe anamezea, kona Nigeria wanapiga
 
Kona nyingine kwa Nigeria, wamekosa goli la wazi..

Hizi nafasi wanaweza kuzijutia baadaye
 
Kwenye kisimbuzi cha Star times kuna channel inayoonyesha?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kwenye kisimbuzi cha Star times kuna channel inayoonyesha?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Sina hakika mkuu...

Ngoja wadau waje watujuze..
 
Kumbe Babu D.C. hadi kwenye michezo umo? Duuuh!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Hahahahahahahahah,

Mara moja moja bwana ni muhimu kupiga story na wajukuu...

Sema tu kwamba sina timu EPL....

Babu DC!!
 
Hahahahahahahahah,

Mara moja moja bwana ni muhimu kupiga story na wajukuu...

Sema tu kwamba sina timu EPL....

Babu DC!!

Sawa mkuu, mjukuu wako nafuatilia updates zenu hapa. Nataka Nigeria ishinde.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Sawa mkuu, mjukuu wako nafuatilia updates zenu hapa. Nataka Nigeria ishinde.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Bahati nzuri yuko na kaka yako fidel 80 hapa...naona yuko shapu kuliko sie wa analogia...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom