mkuu panga moja lilichomoka huo ungo umetobokaBOMBADIA yake iliishiwa mafuta au!?
mkuu panga moja lilichomoka huo ungo umetobokaBOMBADIA yake iliishiwa mafuta au!?
Acha ubishi uchawi upo,......kuna jamaa walipaa na ungo pale mawasiliano ubungo mchana kweupe na watu kushuhudia..ili wawaonyeshe ambao hawaamini......NATAMANI UNGEKUWEPO SIKU HIYO HALAFU UONE.....Hata biblia na misahafu vinasema uchawi upo.Hii kitu ya ungo ni imagination haiwezekani hata kidogo eti mtu apande kwenye ungo.
1. Serikari ifanye uchunguzi wa kina yawezekana watu wamefanya mauaji halafu waka plot scene ili kufunika uovu wao
2. Kwa kuwa jamii ilishalishwa dhana ya uongo ya watu kusafiri na ungo wamekuwa obsessed na illusion hiyo na hivyo kufunika hata uwezo wao wa kufikiri nje ya box na kubakia wakiamini kile wanachokiona na macho ya kawaida.
3. Ni mara nyingi watu wameshambuliwa na wengine hata kuuawa kwa imani za kijinga kama hizo pale ambapo waganga matapeli wa kienyeji wanapo kula deal na mtu kwa kumpaka mazizi na kumbebesha ungo na kujifanya eti amemtungua kwa nguvu zake ili apate wateja.
Hivyo , mtu huyo achunguzwe ni wawapi, ndugu zake, mara ya mwisho alionekana na nani au aliwasiliana na nani au alikuwa na uadui na nani.
Panga boi la bombadier yake limekutana na kunguruBOMBADIA yake iliishiwa mafuta au!?
Huamini. Wenzako South Africa wanaplan ya kuanzisha degree...na wanaimani itasaidia kupunguza traffic jam na grarama za uagizaji wa mafuta ....Hatar asee mimi hua siamini kama kweli ungo hua unaruka
Kweli technologia yetu inakua.Acha ubishi uchawi upo,......kuna jamaa walipaa na ungo pale mawasiliano ubungo mchana kweupe na watu kushuhudia..ili wawaonyeshe ambao hawaamini......NATAMANI UNGEKUWEPO SIKU HIYO HALAFU UONE.....Hata biblia na misahafu vinasema uchawi upo.