Afande Sele kugombea ubunge 2015

Afande Sele kugombea ubunge 2015

Ni kweli Afande Sele anafaa kuwa Mbunge.
afande_sele4.jpg
Dah! jamani yaani mtu kutangaza nia tu mmeshaanzakumrushia mawe hii ni hatari. Ndio maana huwa nasema ukiwa na plan ya kujakugombea vyeo vya umma lazima ujiandae kwa kuweka historia na matendo yako vizuri watuwanakumbukumbu bwana.
 
hapa ndipo namkumbuka mke wangu faiza foxx
kwa utumbo kama huu angecomment hivi

"unachekesha"
 
Afande ana haki zote za kugombea. Kama kukataliwa basi na akataliwe kwenye sanduku la kura, iwe kwenye chaguzi za awali za kichama au uchaguzi mkuu. Ndiyo demokrasia hiyo.

Sasa sijui wengine mnataka hata kwenye demokrasia kuwepo na tabaka la wateule ambao wao ndiyo watakuwa na haki pekee za kugombea achilia mbali hata kutangaza nia?
 
asipate tabu nafasi zitakuwa nyimgi 2015 kwani posho zitafutwa na mshahara utakuwa kima cha chini
 
Mwananchi yeyote ana haki ya kugombea, what matters ni kuangalia kama ame meet conditions za kuwa candidate.
 
namtakia kila la kheri katika mipango yake. Kwa mendo huu tanzania nchi yangu sina shaka kuwa haiwezi fika mbali kimaendeleo.
Mtu akishakuwa maarufu anataka ubunge na watu wanampa kura kutokana na umaarufu wake.
Bunge lijalo tutakuwa na design za afande wengi na akina shyrose pia.
 
si ndo yaleyale ya kuchagua watu kwa rangi,umaarufu,uchekeshaji,uhandsome lini tutakuwa watanzania ili tuwe na aikili na uelewa wa kutosha wa kujua nani na nini haswa kimfanyacho mtu kuwa kiongozi, afande aweza kuwa na nia nzuri kabisa lakini kuna mambo mengi ambayo nina mashaka nayo katika utendaji, maana kuwa na nia ni kitu kimoja na kuwa na uwezo ni kitu kingine.
 
Hana jipya la kutusaidia Moro,labda akajaribu uenyekiti wa kijiji huko Kiroka
 
Afande ana haki zote za kugombea. Kama kukataliwa basi na akataliwe kwenye sanduku la kura, iwe kwenye chaguzi za awali za kichama au uchaguzi mkuu. Ndiyo demokrasia hiyo.

Sasa sijui wengine mnataka hata kwenye demokrasia kuwepo na tabaka la wateule ambao wao ndiyo watakuwa na haki pekee za kugombea achilia mbali hata kutangaza nia?
Something wrong with your brain!.....this is not normal.
 
Kumezuka tetezi kwamba..,msanii wa muziki wa kizazi kipya..,AFANDE SELE a.k.a BABA TUNDA, ana mipango ya kugombea ubunge MOROGORO mjini..! hiyo ni haki yake kimsingi lakini tatizo AFANDE una TAMAA na ROHO MBAYA sana...,kuanzia kwa vitendo ulivyokuwa unawafanyia wasanii wenzako..! hadi kumdis JOSEPH MBILINYI a.k.a SUGU kwenye kampeni dhidi ya wanyonyaji wa muziki TANZANIA ak.a ANTI VIRUS baada ya kuhongwa na clouds fm...,na mwenyewe ukasema tatizo PESA ukaachana na ukombozi wa muziki Tanzania na kuwatumikia wanyonyaji..! sasa kama ukigombea ubunge utakuwa tayari kukataa PESA ili CCM ipite maanak nackia una mpango wa kugombea CUF...! kwasababu mpinzani unatakiwa usiwe na tamaa ya pesa la sivyo leo hii wakina GODBLESS LEMA,DK.SLAA tusingekuwa tunawasikia sasa hivi..!
 
Back
Top Bottom