Msanii wa bongo fleva alimaarufu kwa jina la afande sele amesema atagombea ubunge morogoro mjini kupitia chama cha upizani na wala sio ccm kwa sababu yeye ni toka kitambo amekuwa akimpa sapoti mbowe na yeye ndio alimshauri sugu ahamie chadema.msanii huyu alienda mbali na kusema katka kazi zake za mziki amepata mchango mkubwa sana kutoka kwa baadhi ya viongozi wa kafu. Aliongeza pia anaamin ili kuyatoa manyang'au ccm madarakani ni vema vyama vya upinzani kuungana pamoja. Alipoulizwa atagombea kupitia chama gani alisema muda ukifka ntasema ila sio ccm.
Bunge litanoga zaidi maana A/ Sele sikuzote anaongea points so bungeni itakua hapatoshi.
Afande Sele ni msanii aliye na mafanikio kibao,huyo babu kitumbo wa Tot Mh sana John Komba ana kitu gani?kazu yake ni kuunga mkono hoja za ccm 100% na vigeregere.bigup Afande karibu cdm umtoe huyo mhindi hapa mji kasoro bahari
Cdm a.k.a wazee wa kusajili wasanii maana wengi ni vipanga ili wakipata madaraka wawapelekeshe wanavyotaka
Karibu sana mjomba kwenye siasa ili uzipe matendo nyimbo zako....KILA LA HERI!
Ni kweli Afande Sele anafaa kuwa Mbunge.
![]()
Ubunge wa jimbo la Bangi labda! Kuiga iga kila kitu kunawaponza..eti kisa Sugu ni Mbunge naye anataka Ubunge..wasanii bwana! Mara kanumba anataka ubunge, mara Langa anataka ubunge, Professa Jay naye nasikia katangaza nia, ooh sijui Jay Moe naye anagombea! hawa watu bwana!
Ni kweli Afande Sele anafaa kuwa Mbunge.
![]()
Maskini Afande Sele.