KARANJA 007
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,990
- 2,521
Watanzania bado tuko karne ya 17 ambayo Ulaya wakati huo walikuwa wanatumia farasi na matela ya abiria kufanya usafiri,ushauri wangu,serekali ilete punda wa kutosha kutoka Singida na itengeneze matela,hiyo itakuwa njia bora ya usafiri ambao hautaleta ajali na matatizo kama haya yanayotokea,halafu tutaanza taratibu kujongea karne hadi karne mpaka tufike stage ya vyombo vya moto,fuel itakayotumika kwa punda hao itakuwa ni Carrot na mihogo mibichi,hiyo itaongeza soko la ndani kwa wakulima kujipatia kipato na kulipa kodi,mbolea ya punda tutaipeleka mashambani na kuwauzia wakulima ili kurejesha rutuba katika ardhi bila kutumia mbolea zenye kemikali ambazo ni ghali,halafu ili kuongeza mwendo(SPEED) ya punda wetu ili kuwafanya kuwa na accelaration nzuri na pia changing of gears(KIBADILI MWENDO),itabidi kilimo cha pilipili kiongezeke coz tutatumia pilipili ya kijani(mild) kusugua punda kwenye tigo ili wakati anaanza kuondoka iwe kama first gear,akishaanza kuchanganya mwendo tunamsugua punda kwenye tigo na pilipili nyekundu(strong), ili speed iwe overdrive ili kuokoa muda,hapo tutakuwa na soko kubwa la ndani la pilipili kwa wakulima nchini na watalipa kodi nzuri pia,punda wakizeeka au kuugua tutawachinja na kusindika nyama yake kwenye makopo na kuuza, hii itaongeza mapato kwa serekali na siha kwa wananchi sababu nyama ya punda ina protein ya kutosha na kinga dhidi ya maradhi ambukizi,ngozi za punda serekali itafanya export,hakutakuwa na polution ya green gas or lead poisoning itokanayo na fossil fuel ambayo ni janga kwa Taifa sababu inasababisha SARATANI, ugonjwa unaozidi siku hadi siku nchini kwetu.TUUNGANE KUISHINIKIZA SEREKALI JUU YA UMUHIMU WA PUNDA KIMAENDELEO,BILA KUSAHAU PUNDA NI MALI.Mmmh si kila mtu ataridhika na huduma zake. Ila kwa ujumla yanasaidia sana jamani duh
swala la madreva ni la elimu, kitengo cha mawasiliano kiwape elim madreva, hasa wazingatie kuwa wao hawalipwi kwa siku, bali wanamkataba wa ajira, hvyo wajib wao ni kusema na kutoa taarifa kila kituo, wapo madreva ambao wanafanya vzr ukipanda gari lao, utafurahi kama umepanda ndege, ila kunawengine ukipanda asee kama wamevuta bangi,UDART ni nzuri sema tu kuna mapungufu kidogo:
1. Magari ya kimara morocco ni machache
2. Kuna madereva hawana maadili nilimshuhudia kampitiliza mtoto sijui makusudi sijui bahati mbaya halafu akajibu jeuri
3. Kuna madereva hawaheshimu zebra yeye anakwenda tu sio wote wengine wastaarabu sana narudia wengine wastaarabu sana.
4. Kuna madereva hawajui kutunza muda wanayaendesha kama daladala fulani hivi, kituoni anazubaa bila sababu.
5. Kuna wale wadada wanaosaidia watu kupita kwenye vile vizingiti, wengine wana hulka mbaya, kama mtu akipita pale hajui jinsi ya kuscan risiti wanakuwa wakali badala ya kumuelewesha vizuri. Wanakera sana wanajiona wamefika.
Kumbuka:
Haya si mabasi ya kusubiri abiria, mmoja wawili twende mbele wako abiria. Kama unataka kusubiriwa rudi daladalani.
Siku njema mkuu.
HAICHEKESHIIIIWatanzania bado tuko karne ya 17 ambayo Ulaya wakati huo walikuwa wanatumia farasi na matela ya abiria kufanya usafiri,ushauri wangu,serekali ilete punda wa kutosha kutoka Singida na itengeneze matela,hiyo itakuwa njia bora ya usafiri ambao hautaleta ajali na matatizo kama haya yanayotokea,halafu tutaanza taratibu kujongea karne hadi karne mpaka tufike stage ya vyombo vya moto,fuel itakayotumika kwa punda hao itakuwa ni Carrot na mihogo mibichi,hiyo itaongeza soko la ndani kwa wakulima kujipatia kipato na kulipa kodi,mbolea ya punda tutaipeleka mashambani na kuwauzia wakulima ili kurejesha rutuba katika ardhi bila kutumia mbolea zenye kemikali ambazo ni ghali,halafu ili kuongeza mwendo(SPEED) ya punda wetu ili kuwafanya kuwa na accelaration nzuri na pia changing of gears(KIBADILI MWENDO),itabidi kilimo cha pilipili kiongezeke coz tutatumia pilipili ya kijani(mild) kusugua punda kwenye tigo ili wakati anaanza kuondoka iwe kama first gear,akishaanza kuchanganya mwendo tunamsugua punda kwenye tigo na pilipili nyekundu(strong), ili speed iwe overdrive ili kuokoa muda,hapo tutakuwa na soko kubwa la ndani la pilipili kwa wakulima nchini na watalipa kodi nzuri pia,punda wakizeeka au kuugua tutawachinja na kusindika nyama yake kwenye makopo na kuuza, hii itaongeza mapato kwa serekali na siha kwa wananchi sababu nyama ya punda ina protein ya kutosha na kinga dhidi ya maradhi ambukizi,ngozi za punda serekali itafanya export,hakutakuwa na polution ya green gas or lead poisoning itokanayo na fossil fuel ambayo ni janga kwa Taifa sababu inasababisha SARATANI, ugonjwa unaozidi siku hadi siku nchini kwetu.TUUNGANE KUISHINIKIZA SEREKALI JUU YA UMUHIMU WA PUNDA KIMAENDELEO,BILA KUSAHAU PUNDA NI MALI.
nani kasema mbaya.. hizo changa moto kila siku zinaongezeka na hakuna anaye elewa. usijaribu kuongea na wale wafanyakazi.wao maana hawajaui hata kazi yao? poor Udart.UDART ni usafiri mzuri sana kwa kweli,kilichopo ni kuondoa tu changamoto zinazojitokeza.
Na utakuta mtu anaambiwa kabisa hii haisimam popote lakn anapanda halaf anaanza kulaumu baadaeYale mabasi yanataratibu zake, kuna yanayosimama kila kituo na kuna yanayosimama baadhi ya vituo.
ni kweli unacho kisema lakini utakuta mtu kakaa kituoni saa moja kisha basi express linakuja na unasikia halisimamia vituo vyote. hii ndio inapelekea watu wapande hivyo hivyo kwa kuwa amekaa saa moja na hakuna basiNa utakuta mtu anaambiwa kabisa hii haisimam popote lakn anapanda halaf anaanza kulaumu baadae
Haikuandikwa kukuchekesha wewe punda kihongwe unaenuka fungus kwenye tigo.HAICHEKESHIIII
Watanzania bado tuko karne ya 17 ambayo Ulaya wakati huo walikuwa wanatumia farasi na matela ya abiria kufanya usafiri,ushauri wangu,serekali ilete punda wa kutosha kutoka Singida na itengeneze matela,hiyo itakuwa njia bora ya usafiri ambao hautaleta ajali na matatizo kama haya yanayotokea,halafu tutaanza taratibu kujongea karne hadi karne mpaka tufike stage ya vyombo vya moto,fuel itakayotumika kwa punda hao itakuwa ni Carrot na mihogo mibichi,hiyo itaongeza soko la ndani kwa wakulima kujipatia kipato na kulipa kodi,mbolea ya punda tutaipeleka mashambani na kuwauzia wakulima ili kurejesha rutuba katika ardhi bila kutumia mbolea zenye kemikali ambazo ni ghali,halafu ili kuongeza mwendo(SPEED) ya punda wetu ili kuwafanya kuwa na accelaration nzuri na pia changing of gears(KIBADILI MWENDO),itabidi kilimo cha pilipili kiongezeke coz tutatumia pilipili ya kijani(mild) kusugua punda kwenye tigo ili wakati anaanza kuondoka iwe kama first gear,akishaanza kuchanganya mwendo tunamsugua punda kwenye tigo na pilipili nyekundu(strong), ili speed iwe overdrive ili kuokoa muda,hapo tutakuwa na soko kubwa la ndani la pilipili kwa wakulima nchini na watalipa kodi nzuri pia,punda wakizeeka au kuugua tutawachinja na kusindika nyama yake kwenye makopo na kuuza, hii itaongeza mapato kwa serekali na siha kwa wananchi sababu nyama ya punda ina protein ya kutosha na kinga dhidi ya maradhi ambukizi,ngozi za punda serekali itafanya export,hakutakuwa na polution ya green gas or lead poisoning itokanayo na fossil fuel ambayo ni janga kwa Taifa sababu inasababisha SARATANI, ugonjwa unaozidi siku hadi siku nchini kwetu.TUUNGANE KUISHINIKIZA SEREKALI JUU YA UMUHIMU WA PUNDA KIMAENDELEO,BILA KUSAHAU PUNDA NI MALI.
Anyway that is what I felt about UDART,i travelled once from Kimara to Kariakoo and back,it was a nice experience to me,i can not compare to daladala which was just operating without rules.nani kasema mbaya.. hizo changa moto kila siku zinaongezeka na hakuna anaye elewa. usijaribu kuongea na wale wafanyakazi.wao maana hawajaui hata kazi yao? poor Udart.
unaonekana ulitumia huu usafiri mchana, wakati ambao hakuna abiria. safiri kutoka kimara majira ya saa 12 hadi saa 2 kasoroAnyway that is what I felt about UDART,i travelled once from Kimara to Kariakoo and back,it was a nice experience to me,i can not compare to daladala which was just operating without rules.
Wapinga maendeleo mpo wengi sana....1. Kwenye daladala abiria ndio mfalme , hata uwe mbali utasubiriwa, hata kama basi limejaa utaambiwa kuna nafasi etc
Sasa UDART ni kinyume chake kabisa, dereva ndio mfalme, anaamua apakie au asipakie, anaweza pita na gari tupu na asipakie, anaweza hata akadanganya eti gari bovu anaenda kupaki kumbe hataki apakie njiani, usumbufu kibao utadhani abiria wanapanda bure.
tofauti nyingine ongezeni..