Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 15,572
- 22,441
Ok. Je kazi gani nyingine ya internet huwa unaifanya kwenye mitandao?Mkuu kwenye Maswala ya matumizi na kudhibiti background data niko vizuri. Bado pia huwa nawasha data saver mode kwa sababu ya matumizi mabayaa
Maana gb10 kumaliza kwa siku 1 kwa ajili ya kuperuzi na kuangalia video siyo jambo jepesi mkuu.