🤣ngoja nami nipumzike kwa kweliIt's worse than poison, yaani inakuharibu ukiwa unacheka.
Mimi nawazo Mkuu kwanini tusiwaachie wake zetuMimi nafikiria kuacha simu kubwa for 3 days! Nafikiria tu😅
Sema watu wengi wana addiction ya simu..nina jamaa angu ye ana utaratibu mzuri wa matumizi ya simu.Check settings zako!
Safi same here,,nina miezi miwili now...watu wananishangaa naishije bila whatsapp.Uninstall. Mi sijatumia WhatsApp mwaka sasa.
Kivipi sasa make yeye ndo atakuwa anashinda nayoMkuu ni Sawa na kurusha bomu chumban
Mkuu matangazo ya boss wako huwa unayapataje? Yale ya jumlaSafi same here,,nina miezi miwili now...watu wananishangaa naishije bila whatsapp.
Documents nawaambia zitumwe kwa email..nina whatsapp ya Biashara pekee kwa ajili ya wateja..ambapo hyk simu hukaa huko huko dukani
Wengine ukishika simu tu.. Data onSema watu wengi wana addiction ya simu..nina jamaa angu ye ana utaratibu mzuri wa matumizi ya simu.
Data anawasha asubuh kama masaa mawili,kucheki updates,emails na taarifa mbalimbali..then atazima data mpaka jioni tena atawasha data kwa masaa mawili...then mpaka kesho tena
Unless itokee dharula,
hakuna matangazo ya dharula mkuu.hujiulizi wale wafanyakazi wanao tumia vitochi wanapataje matangazo mkuu,je wale wasio na bando.kumbuka mwajiri hakununulii bando hivyo hawezi nilaumu kwa kutokuwa online. Kama kuna issue ya dharula ntapigiwaMkuu matangazo ya boss wako huwa unayapataje? Yale ya jumla
Watu huwa wanalalamika ila mimi haijawahi kukitokeaAu mtandao Wamefanya yaoo? Halotel wana huo ujinga?
Duhh mimi kwakweli labda nishinde humu & emails tu, hata whatsapp hunikuti! Nachovya kidogo kidogo, siku nijisikie kuingia snap au insta basi kwingine siingii, youtube nimeunga kwa tv, Ukizurura kwenye apps zote kichwa kinauma!Sema watu wengi wana addiction ya simu..nina jamaa angu ye ana utaratibu mzuri wa matumizi ya simu.
Data anawasha asubuh kama masaa mawili,kucheki updates,emails na taarifa mbalimbali..then atazima data mpaka jioni tena atawasha data kwa masaa mawili...then mpaka kesho tena
Unless itokee dharula,
Mimi huwa naunga zinakaa hata week 1 ila sio kwa siku aisee, nikiwa situmii home namaliza mwezi!Au mtandao Wamefanya yaoo? Halotel wana huo ujinga?