Adui namba moja

Adui namba moja

Kila kiumbe kina nafasi yake. Nyoka anakuchukia wewe kwa kumuua bila sababu. Nyoka haumi kiumbe ambacho hakiitaji kwa mlo labda umkanyage au umwonyeshe dalili za kumdhuru. Mimi mwenyewe naogopa nyoka kuliko kila kitu ila nimepata therapist ambaye aliniambia kuwa nyoka ana aibu sana isipokuwa kama aina mbili hivi ambao ni wakorofi nao inabidi uingie anga zao. Nyoka anabalance kwa kula panya na viumbe ambao wewe mwenyewe ungewatega kuwaua nyumbani mwako. nyoka kaumbwa kama wewe hivyo ana haki ya kuishi. Ukimkuta kwako mfukuze arudi porini kumuua ni sawa umejiua wewe in future.

Nenda kakutane na chatu halafu utuletee mrejesho kama nae ana aibu
 
Cheki nyama bana. Hapo ukimfanya deep fry unaongeza tu mrenda, Ugali wa mtama na mawele na kachumbari isikose pilipili kali na parachichi. We acha tu. 🙂
Au kitu cha mchuzi, bila kusahau pili pili
upload_2017-12-22_12-7-38.png

upload_2017-12-22_12-9-30.png

 
Ingawa sipendi kuua viumbe, nikikutanaga na nyoka viunga vyangu hanaga nafasi ya maisha.
Siwapendi.
 
Nyoka nawapenda sana kwa sababu ni warembo sana![emoji116][emoji53][emoji53][emoji53]
 

Attachments

  • IMG_20171225_135916_915.JPG
    IMG_20171225_135916_915.JPG
    51.2 KB · Views: 43
  • IMG_20171225_135825_344.JPG
    IMG_20171225_135825_344.JPG
    61.6 KB · Views: 52
  • IMG_20171225_135800_489.JPG
    IMG_20171225_135800_489.JPG
    34.4 KB · Views: 44
  • 4384692602_8345cf71d1.jpg
    4384692602_8345cf71d1.jpg
    37.9 KB · Views: 43
Umesema Ukweli mtupu, tena kupitia viumbe tuvijuavyo kuwa ni adui, kuna mengi yenye kufikirisha. Kuna lugha inayoeleweka kiasili baina ya viumbe wote, nyoka anaisoma dhamira yako juu yake na ana react.

Ila mimi namuogopa nadhani kuliko wote humu, sipendi kumuona hata ktk picha achilia mbali kwenye video!
Picha na hata video za nyoka sizipendi hata kutazama.

Hata walizotuma hapa jf napita kama sioni.
 
Wanawake hawajawahi kuwa wakweli!
sasa yule mliekoraboleti nae kwenye vitabu vya dini alikuwa MUMI..?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom