Adui namba moja

Adui namba moja

Ni kweli kabisa Numbisa na mara nyingi wanakuwa wazembe sana kwa kuweka chakula mezani na kukiacha wazi. Paka hawakawii kurukia juu ya meza na kufanya yao.

Aah sehemu wanayofuga paka wananishangaza maana paka wanaingia mpaka ndani kila kochi manyoya yao yapo. Vyombo vya kulia paka sehemu nyingine ndo masahani na mabakuli hayo hayo wanayotumia ndani ya nyumba

Ila nyoka siogopi kuwaona labda kwa sababu nimekulia sehemu iliyokua nao wengi,kuwaona wanakatisha au kukuta gamba lake njian lilikua jambo la kawaida

Fisi na mamba movie zao kila kona zipo nshazoea
 
View attachment 656051 sipendi nyoka ,,natamani wasingekuwepo
Asee umenikumbusha jeshini kipindi cha mkesha nilidoji usiku nikaenda kulala kwenye nyasi nyuma ya bwalo kumbe alikuwepo chini ya nyasi nimemlalia kidogo nasikia kitu hapa mbavuni kama kinanigusagusa ile naweka mkono nikitoe nikaikumbatia kama nimeshika ule mpira wa kumwagilia aisee niliruka nanlile wenge la usingizi liliniisha pale pale
 
Aah sehemu wanayofuga paka wananishangaza maana paka wanaingia mpaka ndani kila kochi manyoya yao yapo. Vyombo vya kulia paka sehemu nyingine ndo masahani na mabakuli hayo hayo wanayotumia ndani ya nyumba

Ila nyoka siogopi kuwaona labda kwa sababu nimekulia sehemu iliyokua nao wengi,kuwaona wanakatisha au kukuta gamba lake njian lilikua jambo la kawaida

Fisi na mamba movie zao kila kona zipo nshazoea

Uwiiiii umesema kweli mkuu,unakuta nyumba ina paka mpk unajiuliza wa kazi ganiiiii,,,km suala ni panya basi nitawauwa na sumu
Yale manyoya sasa[emoji37][emoji37]
 
Yaan wana roho ya kipekee hao wafuga paka

  • Thanks
Reactions: BAK
Umealikwa kama Mgeni nyumbani kwa mtu kwa chakula. Nyumba ile ina mapaka wengi tu. Baada ya chakula kuwekwa mezani bila kufunikwa na mwenyeji wako kurudi jikoni mapaka yanarukia mezani na kuanza kudokoa dokoa chakula kile.

Utakula chakula kile au utatumia mbinu ipi ili usile kwa sababu kimechezewa na mapaka?

Mweee ntasema tu ukweli kua chakula kimeliwa na paka,aibu nyingine zitatusababishia magonjwa.

Kama kuna sehemu nilienda tembelea kwa wiki moja maji ya kunywa kikombe hicho hicho kinatumika kuchotea maji kwenye ndoo ya maji na mtu anakunywa na kukirudisha kikombe hapo awe mgeni,fundi ujenzi,mpita njia wote wanatumia kikombe hicho hicho,watoto sasa wanatoka kucheza mivumbi tele anachota maji hadi mkono unatoka msafi anakunywa na kuyarudishia aiseee mie walinimaind tu ila sikujali nilikua nanunua maji ya chupa dukan kila siku

Baada ya hapo ukamuua???
Ulirudi kwenye mkesha???
Ma kepteni hawakugundua???
Niliposhika nikasikia kitu kama kinajisokotea mkononi nilikung'uta mkono kwa nguvu hapo hapo nikiwa nishasimama sped na mbio hadi usawa wa ofis ya combania na nikakuta rocore ishapita na nimeshaandikwa absent asee wee wee acha kile kichapo kesho asbh mungu ndo anaejua...
 
Kwi kwi kwi kwi lol! Una tabia kama zangu aisee kwenye mambo ya usafi.

Mweee ntasema tu ukweli kua chakula kimeliwa na paka,aibu nyingine zitatusababishia magonjwa.

Kama kuna sehemu nilienda tembelea kwa wiki moja maji ya kunywa kikombe hicho hicho kinatumika kuchotea maji kwenye ndoo ya maji na mtu anakunywa na kukirudisha kikombe hapo awe mgeni,fundi ujenzi,mpita njia wote wanatumia kikombe hicho hicho,watoto sasa wanatoka kucheza mivumbi tele anachota maji hadi mkono unatoka msafi anakunywa na kuyarudishia aiseee mie walinimaind tu ila sikujali nilikua nanunua maji ya chupa dukan kila siku
 
Daah afya muhimu sana. Bora kuonekana mbaya kuliko kukubali kutenda usivyopenda
Kwi kwi kwi kwi lol! Una tabia kama zangu aisee kwenye mambo ya usafi.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kuna wakati nilikuwa na safiri sana kikazi wakati mwingine kwenye wilaya ambazo maji ni shida sana. Cha kwanza kuuliza ilikuwa ni kama maji ya chupa yanapatikana madukani. Kama hayapatikani nilikuwa naomba wanichemshie majinya kunywa. Nyumba za watu kama sijawazoea sana sigusi maji ya kunywa ila kama nimewazoea nitauliza kama wanachemsha maji yao ya kunywa.

Daah afya muhimu sana. Bora kuonekana mbaya kuliko kukubali kutenda usivyopenda
 
Umealikwa kama Mgeni nyumbani kwa mtu kwa chakula. Nyumba ile ina mapaka wengi tu. Baada ya chakula kuwekwa mezani bila kufunikwa na mwenyeji wako kurudi jikoni mapaka yanarukia mezani na kuanza kudokoa dokoa chakula kile.

Utakula chakula kile au utatumia mbinu ipi ili usile kwa sababu kimechezewa na mapaka?

Hahahahhaa sitakila jmn uwiiii siwezi kabisaa yani nitawaambia na kuwashauri juu kuwa hawa paka ni kerooo
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom