Adui namba moja

Adui namba moja

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
51,118
Reaction score
72,598
IMG_20171221_141228.jpg
sipendi nyoka ,,natamani wasingekuwepo
 
Kila kiumbe kina nafasi yake. Nyoka anakuchukia wewe kwa kumuua bila sababu. Nyoka haumi kiumbe ambacho hakiitaji kwa mlo labda umkanyage au umwonyeshe dalili za kumdhuru. Mimi mwenyewe naogopa nyoka kuliko kila kitu ila nimepata therapist ambaye aliniambia kuwa nyoka ana aibu sana isipokuwa kama aina mbili hivi ambao ni wakorofi nao inabidi uingie anga zao. Nyoka anabalance kwa kula panya na viumbe ambao wewe mwenyewe ungewatega kuwaua nyumbani mwako. nyoka kaumbwa kama wewe hivyo ana haki ya kuishi. Ukimkuta kwako mfukuze arudi porini kumuua ni sawa umejiua wewe in future.
 
Keep in mind

Pamoja na kua unaona umemuua epuka kumshika kizembe, haswa kichwani, kwa ndani ya saa moja mpaka tatu.

Hii ni kwakua, jacobson tezi iliyopo kwenye ulimi ili kumpa taarifa, bado inakua active. Hivyo unaweza ukashangaa ukamshika kichwani naye akareact kwa kutaka kukuuma.

Pia sumu anaendelea kua nayo kama kawaida.
 
Kila kiumbe kina nafasi yake. Nyoka anakuchukia wewe kwa kumuua bila sababu. Nyoka haumi kiumbe ambacho hakiitaji kwa mlo labda umkanyage au umwonyeshe dalili za kumdhuru. Mimi mwenyewe naogopa nyoka kuliko kila kitu ila nimepata therapist ambaye aliniambia kuwa nyoka ana aibu sana isipokuwa kama aina mbili hivi ambao ni wakorofi nao inabidi uingie anga zao. Nyoka anabalance kwa kula panya na viumbe ambao wewe mwenyewe ungewatega kuwaua nyumbani mwako. nyoka kaumbwa kama wewe hivyo ana haki ya kuishi. Ukimkuta kwako mfukuze arudi porini kumuua ni sawa umejiua wewe in future.
Uko sahihi kakibisa. Laiti watu wange kuwa na uelewa wasinge kuwa wanawaua Kabisa. Nashukuru na penda kuangalia vipindi vya wanyama . Vimenifanya niwaelewe nyoka. Siui nyoka hata siku moja
 
Nyie mwasema,kitu hakiongei kinatishaa
 
Umesema Ukweli mtupu, tena kupitia viumbe tuvijuavyo kuwa ni adui, kuna mengi yenye kufikirisha. Kuna lugha inayoeleweka kiasili baina ya viumbe wote, nyoka anaisoma dhamira yako juu yake na ana react.

Ila mimi namuogopa nadhani kuliko wote humu, sipendi kumuona hata ktk picha achilia mbali kwenye video!
 
Back
Top Bottom