Kuna wakati nilikuwa na safiri sana kikazi wakati mwingine kwenye wilaya ambazo maji ni shida sana. Cha kwanza kuuliza ilikuwa ni kama maji ya chupa yanapatikana madukani. Kama hayapatikani nilikuwa naomba wanichemshie majinya kunywa. Nyumba za watu kama sijawazoea sana sigusi maji ya kunywa ila kama nimewazoea nitauliza kama wanachemsha maji yao ya kunywa.
Ni shiida kuna wengine wanakujibu hata kama hatuchemshi mbona hatuumwi au kufa ovyo,wanakuona kama mbaguzi. Just imagine ndoo ya kuogea ndo hio hio ya kuoshea vyombo na maji ya kupikia. Maisha haya.
Mh! Inahitaji moyo aisee. Ndoo ya kuogea ndiyo hiyo hiyo ya kuwekea maji ya kunywa? Wengine kipaumbele cha afya zao kimewapitia kushoto.
Vyote ni viumbe Wa mungu kinapenda uhai kama unavyopenda ww usichompendea nyoka ni ile self defence yake ambayo hata sisi binadamu tunayo kwa kiumbe chochote kinachoweza kutuathiri..View attachment 656051 sipendi nyoka ,,natamani wasingekuwepo
Utapelekwa nchi ya kusadikika.Cha mtoto huyo kwa sasa Tz adui namba moja ni Yohana Ma