Adhana Kupigwa Marufuku Denmark

Dini zote ni utapeli wa kukaririshwa na kuwa brainwashed.
I had a friend some time back alikuwa anaweka alarm ⏰ kwenye simu yake yaani kila muda was swala alarm inamstua sasa haya mambo adhana ya stone age systems ni kelele na usumbufu.
 
Post namba tatu umesema wazungu wanaukimlia Uislam.
Post namba Nne unasema; Wazungu wanachuki na uislam wich is wich?.
 
Dini zote tu ni story za kusadikika fiction.
 
Waislamu kwao hawajali kuhusu imani za wengine ila wao kwa watu wanataka recognition na taratibu zao zizingatiwe!!

Juzi walikuwa wanataka manispaa zitenge maeneo ya kuzika waislamu na kwa sasa kila Ijumaa barabara baadhi zinafungwa watu wanafanya ibada barabarani.

Hata huku tumechelewa sana,waweke alarm simu zao.
 
Wanajielewa Hilo Taifa mpaka basi hakika namuona YESU
Gallup claims that 52 percent of the Danish population associates as either atheist or non-religious–

Lakini pia Denmark inaruhusu mapenzi ya jinsia moja. Je Yesu anafurahishwa na hayo?
 
Exactly makelele kinyama unakuta nyumba za Jirani Kuna wagonjwa au ni karibu na hospital watu wana magonjwa kibao mara mtu anasikia makelele ya kengele sijui adhana au hao walokole can you imagine!!!
Nilisahau na bar pia ,watumie sounds PROFF, izi baa zinazo weka ma speaker kama fridge huku nje wapigwe marufuku.
 
Kuna mji kwa Trump wasomali walitaka graduation day ibadilishwe shule yote kwa sababu ilikuwa sikukuu yao ya kiislam, sio watu hawa
 
Hao wanaelewa dini zilikujakuja tu kihuni ndomana wanaamua lolote, ila ukutane na mzenji hapo dini imemfia aisee hakulewi
 
Nuanga mkono pendekezo hili. Kwanini kupigiana mikelele wakati wanapokwenda kazini hakuna anayewapigia azana kwenda kazini?
 
Utapasuka bule kwa chuki buddy,Waislamu mchi za Magharib hawatumii vipaza sauti ila wapo wengi mno,na wazungu wanaingia kwenye uislaam kila kukicha.
Mzungu huyo wa kujiunga na mudi akili zake zichunguzwe. Kwamba na yeye anataka mabikra 72 😂😂😂😂
 
Zote zipigwe chini kila mtu akasali kwa Siri na siyo kuitana kwa kelele za speeka na maspika makubwa nikiwa raid wa jamuhuri ya Malawi naanza na hili
 
Upo sahihi kidogo,ni kawaida ya watu wanaojielewa,siunaona wazungu walitukuta na mila zetu wakatubadirisha mpaka majina, mavazi . kweli wazungu hawazai ila waliowengi wanapenda kujuwa vitu kiundani,na kawaida ya uislaam ukiusoma deep hutoki utasilim tu. Mbona hili likowazi bro. Tujadili habari za nchiyetu na hawa makatili ssm haya ya adhana sijui nini yatatupotezea mda na kutugawa tu. wenyewe wazungu wanawathamini waarab kuliko sisi waafrika, kosa likifanywa na mweusi mmoja weusi wooote mtakiona,ila kwa waarab ipo tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…