Adhana Kupigwa Marufuku Denmark

Adhana Kupigwa Marufuku Denmark

Kabla ujamaliza kusifia uliza na MAKANISA je yapoje ndani ya Denmark sio Adhana MAKANISA yenyewe ‼️

Waumini hakuna !!!!
MAKANISA yamegeuzwa makumbusho mengine Cinema Mengine Maktaba

Hadi Lodge za kulala wageni
sasa ndugu yangu Lodge Ulaya ujue kwa Sheria zao🫡 wanakuja kusodomoana Kwenye MAKANISA hatari mimi sicheki sisifii i
naudhi sn🫡🫡
Hao wamejua ukweli kwamba dini ni utapeli dini ni wizi
 
Kagame alishapiga marufuku hizi kelele. Kwa watu ambao waliwahi kufika kilwa au kuishi ndio wanajua kero za hizi adhana. Haswa wakati wa ahsubuhi.
Kilwa kila baada ya nyumba 15 kuna msikiti na yote inapiga kelele za adhana ahsubuhi ya saa 11. Wakati bado kuna watu wamelala wanawaamsha kwa kelele.
Mimi naona sawa tu.
😆
 
Sasa sijui wanacho kifurahia kipi

WAZUNGU wanachuki na UISLAM inajulikana wazi👈

Lkn hata ikiwa ni kweli nyinyi
Je
Wakristo mnajua ULAYA Hakuna kabisa mambo ya YESU YESU Haleluyaaa

na sio kuwa Ukristo kumepigwa marufuku 👈

hapana manake waumini wa kumwamini uyo YESU ndio hakuna
yani unaweza sena Imani ya Ukristo imefirisika Kabisa Ulaya 👈

WAZUNGU wapo tu kuhusu MUNGU mawazo ya MUNGU
wameyatupa mbali uko!!!

Sasa japo bado UISLAM unawaumin
uko Ulaya kiasi unafanyiwa ujuma 👈

UKRISTO ndio bai bai kabisa

Uduma za kirohoo Mzungu hataki kuzisikia

Kama kapata Msiba
Uduma kuna kampuni za kuzika👈

Kuoa na kuolewa
Uduma kwenye kampuni za WAKILI
 
Nchi tulivu+ustaarabu

Ova
Pakistan fujo kuanzia asubuhi hadi jioni, mapumbavu tu hayo. Kuna sheikh mmoja mpakistan kule London, siku mmoja sijui alikuwa amevuta shisha au bangi (opium) akawa anaropoka anasema Uingereza ni nchi ya Kiislaam, uzuri wenzetu wamestaarabika, wakawa wanamshangaa....Wakamuuliza kama anahitaji msaada wa kutibiwa....Ingekuwa mtu asiye muislaam au hata muislaam ameropoka kuwa Saudi Arabia siyo nchi ya Sunni pekee, bali na Shia (Kitu ambacho ni kweli), angechinjwa hadharani.
 
Sio waislamu tu dini yeyeto inayoleta kelele ithibitiwe kisheria.
Ibada ni jambo la siri hakuna haja ya makelele hata YESU aliwaita wanafiki wanaofanya ibada kwa makelele.
HATUTAKI KELELE ZA DINI ZOTE, SIKU HIZI KUNA SAA NA SIMU KILA MTU ANAYO, PIA KUNA REDIO, WATU HAWAHITAJI KUKUMBUSHWA KWENDA MISIKITINI AU KANISANI.
 
Adhana nikitu kitukufu sana ambacho ikitokea kimekataza basi kuna maafa yanaweza kujitokeza kwenye jamii husika
Kitukufu....MAVI? Wewe ni mjinga kweli, kitukufu kwako? Ndivyo unavyoendelea kudanganywa na hao makobazi? Kama vile ulivyoambiwa kuwa Quraan ilishushwa kutoka mbinguni? Mbingu gani ninyi matapeli? Wazanzibari sijui akili zetu zipo wapi? Kwenye makalio au?
 
Serikali ya Denmark imefungua upya ukaguzi wa pendekezo la sheria inayohusu wito wa kupiga marufuku 'Adhana' kusikika tena nchini humo, Waziri wa Uhamiaji Morten Bødskov alithibitisha kuwa serikali itaanza tena uchunguzi wa iwapo katazo la nchi nzima la kutangaza mwito wa Kiislamu wa sala kupitia vipaza sauti vya misikiti linaweza kutekelezwa,
-
Waziri Morten alisema 'Adhana haupaswi kusikilizwa juu ya paa za nyumba za raia wa Denmark, Haina nafasi nchini Denmark, na raia wa nchi hii hawatakiwi kuhisi kama wapo kwenye mitaa ya Islamabad kila wakati sababu ya adhana',
-
Mabishano ya jambo hili yanahusu haki za umma isiyo ya kidini huku wengine wakidai sheria hio itakiuka haki za kidini za kikatiba na kuwalenga Waislamu tu,
Source SamMisago
Siyo adhana tu hata hijabu na hikabu na uislamu kwa ujumla ni vitu vya kupigwa marufuku ni upumbavu mtupu ...mfano hapa Tanzania Shekh au msikiti una faida gani ? Nitajiwe faida japo moja tu ya Shekh au msikiti Tanzania...uislamu ni upumbavu kama ulokole tu.
 
HATUTAKI KELELE ZA DINI ZOTE, SIKU HIZI KUNA SAA NA SIMU KILA MTU ANAYO, PIA KUNA REDIO, WATU HAWAHITAJI KUKUMBUSHWA KWENDA MISIKITINI AU KANISANI.
Kabisa Mkuu, inaleta kero, ibada ni kati ya waumini na Mungu/miungu yao. Watu wengine ambao sio waumini hawahusiki kusikiliza au kukumbushwa kwa makelele, ni uchokozi tu na show off.
 
Back
Top Bottom