Adhana Kupigwa Marufuku Denmark

Adhana Kupigwa Marufuku Denmark

Kagame alishapiga marufuku hizi kelele. Kwa watu ambao waliwahi kufika kilwa au kuishi ndio wanajua kero za hizi adhana. Haswa wakati wa ahsubuhi.
Kilwa kila baada ya nyumba 15 kuna msikiti na yote inapiga kelele za adhana ahsubuhi ya saa 11. Wakati bado kuna watu wamelala wanawaamsha kwa kelele.
Mimi naona sawa tu.
Kwahiyo Kilwa adhana saa 11 asubuhi, wakisha swali wanaenda wapi?
Wanalala, wanaenda kazini au ?!
Waweza amka saa 11 lakini kwenda kazini au mashambani issue!
No wonder Kilwa umaskini na ujinga umekomaa!
Hizo dini nazo uzushi sana!
 
WAZUNGU Walikwishaacha biashara ya Mungu sijui YESU kitambo MAKANISA

mengi yapo kwenye matumizi mengine kabisa✍️

Lkn mizwazwa inashangilia kuzuiya kwa Adhana tu.🫎🫎🫎
Nenda kawaambie CCM waache kuapishana kwa hizo dini
 
Serikali ya Denmark imefungua upya ukaguzi wa pendekezo la sheria inayohusu wito wa kupiga marufuku 'Adhana' kusikika tena nchini humo, Waziri wa Uhamiaji Morten Bødskov alithibitisha kuwa serikali itaanza tena uchunguzi wa iwapo katazo la nchi nzima la kutangaza mwito wa Kiislamu wa sala kupitia vipaza sauti vya misikiti linaweza kutekelezwa,
-
Waziri Morten alisema 'Adhana haupaswi kusikilizwa juu ya paa za nyumba za raia wa Denmark, Haina nafasi nchini Denmark, na raia wa nchi hii hawatakiwi kuhisi kama wapo kwenye mitaa ya Islamabad kila wakati sababu ya adhana',
-
Mabishano ya jambo hili yanahusu haki za umma isiyo ya kidini huku wengine wakidai sheria hio itakiuka haki za kidini za kikatiba na kuwalenga Waislamu tu,
Source SamMisago
Siku saudia ikiruhusu wakristo wajenge makanisa na kuabudu ndio siku nchi za kikirsto ziruhusu waislam kupaza adhana zao.
 
Back
Top Bottom