mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 95,845
- 136,742
Nchi tulivu+ustaarabuMakafri Hayataki Mchezo Na Nchi Yao Denmark
Ova
Nchi tulivu+ustaarabuMakafri Hayataki Mchezo Na Nchi Yao Denmark
Sanjali na katazo hilo pia wakataze kelele zitokanazo na milio ya kengere za makanisa ili watu wasihisi wapo mitaa ya Vatikano mjini Rome kila wakati.Serikali ya Denmark imefungua upya ukaguzi wa pendekezo la sheria inayohusu wito wa kupiga marufuku 'Adhana' kusikika tena nchini humo, Waziri wa Uhamiaji Morten Bødskov alithibitisha kuwa serikali itaanza tena uchunguzi wa iwapo katazo la nchi nzima la kutangaza mwito wa Kiislamu wa sala kupitia vipaza sauti vya misikiti linaweza kutekelezwa,
-
Waziri Morten alisema 'Adhana haupaswi kusikilizwa juu ya paa za nyumba za raia wa Denmark, Haina nafasi nchini Denmark, na raia wa nchi hii hawatakiwi kuhisi kama wapo kwenye mitaa ya Islamabad kila wakati sababu ya adhana',
-
Mabishano ya jambo hili yanahusu haki za umma isiyo ya kidini huku wengine wakidai sheria hio itakiuka haki za kidini za kikatiba na kuwalenga Waislamu tu,
Source SamMisago
Sina tatizo na Adhana kusimamishwa ,kwasababu waislamu wanao swali huwa wala hawahitaji sana adhana,na hata zikizuiwa haitawafanya wasiswaliWakafanye adhana kwao mbwa hao. Kama wanaweza kuamka saa 11 asubuhi mbona bado wanakuwa maskini hivyo. Kwani mbona kuna saa siku hizi?
Hiyo mikwala ni ya kijinga sana,baada ya muda mtu anaizoea,mtu anatakiwa amjue Mungu wake vizuri,the rest ni mtereko tuJamaa waoga au ? Mana wao wanapigwa Adhan nyeupe isiyo na Mikwara minene kama shuka kugeuka Sanda, chumba kuwa shimo na usingizi kugeuka kifo.
Au type za kina Dk.Sulle zimefika na huko?
Wewe mpuuzi unaamka mapema saa 11 halafu unakaa kijiweni hadi saa nne usiku. Au wewe ni kipofu usioona mpumbavu usie na akili. Huna tatizo na wanaosali, kwani nani amekwambia ana shida na wanaosali, tuna shida na kelele za asubuhi, kwani hawana saa kuwaonyesha hizi ni saa za kusali? Sisapoti na kengele au speakers za kanisani pia. Hatutaki kelele za kipumbavu.Sina tatizo na Adhana kusimamishwa ,kwasababu waislamu wanao swali huwa wala hawahitaji sana adhana,na hata zikizuiwa haitawafanya wasiswali
Upuuzi wako umeuonyesha kwenye mahusiano ya kuamka saa 11 alfajiri na mafanikio au kufanikiwa, sijui kama umewaza sawa sawa?
Zote zipigwe marufuku, sijawahi kusikia kelele za kengele kule Rome, au Vatican ni wakati wa kuchagua papa tu. Siyo kila asubuhi. Ndiyo dini zisitufanye watumwa.Sanjali na katazo hilo pia wakataze kelele zitokanazo na milio ya kengere za makanisa ili watu wasihisi wapo mitaa ya Vatikano mjini Rome kila wakati.
Najua unajisikia vizur kwa kutukana it's ur problem huwa hainipi shida sana, ungesema tu adhana inasumbua au inapiga makelele,lakini hakuna uhusiano wa kuamka mapema na mafanikio,hata boda boda wanakesha lakini wanapata hela ya kula tuWewe mpuuzi unaamka mapema saa 11 halafu unakaa kijiweni hadi saa nne usiku. Au wewe ni kipofu usioona mpumbavu usie na akili. Huna tatizo na wanaosali, kwani nani amekwambia ana shida na wanaosali, tuna shida na kelele za asubuhi, kwani hawana saa kuwaonyesha hizi ni saa za kusali? Sisapoti na kengele au speakers za kanisani pia. Hatutaki kelele za kipumbavu.
Kwanini?kukataza haitoshi, they’d deport all of them, one way ticket back to stinking somalia …
Kwanini?
Lakini si yapo yenye kengele?Siku hizi wameacha. Makanisa mengi hayafungi hata kengele zenyewe
Afadhali umekuwa muwazi juu ya hiloi dont like somalis …
Serikali ya Denmark imefungua upya ukaguzi wa pendekezo la sheria inayohusu wito wa kupiga marufuku 'Adhana' kusikika tena nchini humo, Waziri wa Uhamiaji Morten Bødskov alithibitisha kuwa serikali itaanza tena uchunguzi wa iwapo katazo la nchi nzima la kutangaza mwito wa Kiislamu wa sala kupitia vipaza sauti vya misikiti linaweza kutekelezwa,
-
Waziri Morten alisema 'Adhana haupaswi kusikilizwa juu ya paa za nyumba za raia wa Denmark, Haina nafasi nchini Denmark, na raia wa nchi hii hawatakiwi kuhisi kama wapo kwenye mitaa ya Islamabad kila wakati sababu ya adhana',
-
Mabishano ya jambo hili yanahusu haki za umma isiyo ya kidini huku wengine wakidai sheria hio itakiuka haki za kidini za kikatiba na kuwalenga Waislamu tu,
Source SamMisago
SAFI SANA
Dini zote zisilete taharuki.Watumiane sms.Kwani ni nani hajui muda wa kwenda kuabudu?Kufanya adhana kwa kutumia speaker's, ni usumbufu kwa raia wengine wasio wailsam.
Watumie mdomo TU kutoa adhana.
Na RC wasitumia kengele makubwaa , Zina leta mstuko wa Moyo, bali waweke kengele vidogo TU.
Na walokole watumia sound systems kwenye kufanya Ibadan zao sauti ibaki mule mule ndani ya nyumba ya Ibadan isitoke nje, wasitumie ma speaker ya matangazo kwenye nyumba za Ibada,
Mbona
wakatoliki wanatumia kengele