Adhana Kupigwa Marufuku Denmark

Adhana Kupigwa Marufuku Denmark

Sawa bado tuko mwaka 1448

Wakati uho uho Makanisa Denmark yanageuzwa Makumbusho na Maktaba mengine majumba ya Cinema nk.✍️

kupigwa marufuku Adhana sio tatizo wanaweza kuitana kwa Simu Dunia imebadilika sana👈
sio lazima kuitana kwa njia ya zamani 👈
Hakika
 

Attachments

  • images (4).jpeg
    images (4).jpeg
    36.8 KB · Views: 12
Jamaa waoga au ? Mana wao wanapigwa Adhan nyeupe isiyo na Mikwara minene kama shuka kugeuka Sanda, chumba kuwa shimo na usingizi kugeuka kifo.

Au type za kina Dk.Sulle zimefika na huko?
Hizo ni adhana zetu huku kijiwe samli bom bom
 
kukataza haitoshi, they’d deport all of them, one way ticket back to stinking somalia …
Wewe ng'weng'we, wasomali walikufanya nini, hebu toa ushuhuda?
Sitashangaa huko uliko na walivyo wengi walikufanya kitu mbaya sana hutawasahau
 
Ukweli ni kwamba hakuna adhana inapigwa kwenye nchi yoyite ya ulaya
Sasa huu ujinga unaletwa hauna mantiki yoyote
Unakatazaje kitu hakipo kama sio kuweweseka

1782403763764.png
 
Utapasuka bule kwa chuki buddy,Waislamu mchi za Magharib hawatumii vipaza sauti ila wapo wengi mno,na wazungu wanaingia kwenye uislaam kila kukicha.

Ni tatizo la akili, au una asili ya uwongo!

Hakuna wazungu wanaojiunga na uislam. Waislam wanaongezeka nchi za Ulaya kwa sababu ya wahamiaji waarabu kwenda Ulaya na kuzaliana hovyo. Lakini siyo wazungu kujiunga na uislam.
Soma hapa chini, kama ulienda shule, na ulikuwa unafundishika:
The growth of the Muslim population in Europe is primarily driven by immigration and higher natural birth rates within immigrant families, rather than religious conversions.
 
Mashaalllah! MBS crown prince Saudi Arabia alianza kukumbatia teknolojia kuwa Adhana iwe katika simu siyo vipaza sauti kama karne zilizopita na sasa ulimwengu unafuata mapinduzi ya MBS
 
Ni tatizo la akili, au una asili ya uwongo!

Hakuna wazungu wanaojiunga na uislam. Waislam wanaongezeka nchi za Ulaya kwa sababu ya wahamiaji waarabu kwenda Ulaya na kuzaliana hovyo. Lakini siyo wazungu kujiunga na uislam.
Soma hapa chini, kama ulienda shule, na ulikuwa unafundishika:
The growth of the Muslim population in Europe is primarily driven by immigration and higher natural birth rates within immigrant families, rather than religious conversions.
potea wewe zwazwa
Kula chuma hiko
1782404540726.png
 
Serikali ya Denmark imefungua upya ukaguzi wa pendekezo la sheria inayohusu wito wa kupiga marufuku 'Adhana' kusikika tena nchini humo, Waziri wa Uhamiaji Morten Bødskov alithibitisha kuwa serikali itaanza tena uchunguzi wa iwapo katazo la nchi nzima la kutangaza mwito wa Kiislamu wa sala kupitia vipaza sauti vya misikiti linaweza kutekelezwa,
-
Waziri Morten alisema 'Adhana haupaswi kusikilizwa juu ya paa za nyumba za raia wa Denmark, Haina nafasi nchini Denmark, na raia wa nchi hii hawatakiwi kuhisi kama wapo kwenye mitaa ya Islamabad kila wakati sababu ya adhana',
-
Mabishano ya jambo hili yanahusu haki za umma isiyo ya kidini huku wengine wakidai sheria hio itakiuka haki za kidini za kikatiba na kuwalenga Waislamu tu,
Source SamMisago
Kagame alishapiga marufuku hizi kelele. Kwa watu ambao waliwahi kufika kilwa au kuishi ndio wanajua kero za hizi adhana. Haswa wakati wa ahsubuhi.
Kilwa kila baada ya nyumba 15 kuna msikiti na yote inapiga kelele za adhana ahsubuhi ya saa 11. Wakati bado kuna watu wamelala wanawaamsha kwa kelele.
Mimi naona sawa tu.
 
Adhana kwa ulimwengu huu wa digital haina maana tena. Na adhani ni uhafidhina. Watu wasiotaka mabadiliko. Siku hizi kila mtu ana saa iwe mkononi au kwenye simu muda wa swala ukifika aende, hamna haja ya kuitana.
 
Too late, wamechelewa kuzuia kelele hizo, walitakiwa kuwazuia kuja na dini iliyo kinyume na taifa lao
 
dah hiyo siyo nzuri azana kukatazwa
Nzuri sana wapige kimya kimya kwani huko zamani kabla ya tech walikuwa wana tumia vipaza sauti !? Kama walikuwa hawatumii na watu bado wakawa wana sali kwanini washindwe kufanya hivyo hivi Sasa !?

Adhana ni Moja ya visababishi vya makelele Mjini inakera sana so watafute mbinu nyingine ya kuitana misikitini ambayo haitokuwa na makelele
 
Kufanya adhana kwa kutumia speaker's, ni usumbufu kwa raia wengine wasio wailsam.

Watumie mdomo TU kutoa adhana.

Na RC wasitumia kengele makubwaa , Zina leta mstuko wa Moyo, bali waweke kengele vidogo TU.

Na walokole watumia sound systems kwenye kufanya Ibadan zao sauti ibaki mule mule ndani ya nyumba ya Ibadan isitoke nje, wasitumie ma speaker ya matangazo kwenye nyumba za Ibada,
Exactly makelele kinyama unakuta nyumba za Jirani Kuna wagonjwa au ni karibu na hospital watu wana magonjwa kibao mara mtu anasikia makelele ya kengele sijui adhana au hao walokole can you imagine!!!
 
Back
Top Bottom