Adhabu ya Kunyonga Hadi Kufa imepitwa na wakati?

Danp36

Danp36

JF-Expert Member
Jul 31, 2010
1,826
1,500
kuhusu kufuta hukumu nyingne mbadala mm nahc haitowezkana. . Na kuhusu kurundkana jela sheria inasema hata baada ya mtuhumiwa kuhkumiwa adhabu ya kifo mpka rais wa jamhuri azihirishe na adhabu hiyo na baadae atie saini kwenye utkelzaji wake.. Shida inakuja wapi maraisi wetu hawki kusaini..
Hiyo ndo sabbu ya hao watu kujaa tu gerezani na kunnepea hovyo...
adhabu hiyo inafaa kabisa.china inawasaidia sana kupunguza mafisadi na wenine wauaji
 
M

Miti Mingi

Member
Jan 7, 2015
13
0
kama wangekua wanatekeleza adhabu hiyo basi maovu yangepungua kwa kiasi kikubwa sana
 
M

Miti Mingi

Member
Jan 7, 2015
13
0
bwana marcossy A.M kama nimekupata vizuri adhabu ya kifo inayozungumzwa ni ile umepelekwa mahakama na imedhihirisha kweli ulitenda kosa,na ukahukumiwa adhabu ya kifo,na sio kumchoma mtuhumiwa moto kama ulivyosema huko ni kujichukulia sheria mkononi.
 
M

moondampwani

JF-Expert Member
Dec 4, 2014
517
250
Hukumu ya kifo ni muafaka kabisa kwani inapunguza hamasa za wengi ambao huenda bila hukumu hii wangeua sana, halafu unamfunga muuaji kifungo cha maisha gharama za kumhudumia anatoa nani???!!! Inaonekana tumekuwa mawakala wa wazungu!
 
Mapondela

Mapondela

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
456
195
Hukumu ya kifo si kwa ajili yao tubali kuwapa peace of mind waliokosewa.. Na tukiwafunga kifungo cha maisha watakuwa wanaTumia nguvu zetu ku ishi (tax)
Naongezea pia ni kwa sababu akiachwa bila kufa akapata nafasi ya kutoroka kwenye kifungo asije akaua wengine.
 
Nkwesa Makambo

Nkwesa Makambo

JF-Expert Member
Aug 26, 2011
4,765
0
Kuhusu kufuta hukumu nyingne mbadala mm nahc haitowezkana. . na kuhusu kurundkana jela sheria inasema hata baada ya mtuhumiwa kuhkumiwa adhabu ya kifo mpka Rais wa jamhuri azihirishe na adhabu hiyo na baadae atie saini kwenye utkelzaji wake.. Shida inakuja wapi maraisi wetu hawki kusaini..
Hiyo ndo sabbu ya hao watu kujaa tu gerezani na kunnepea hovyo...
Dhamira zinawasuta Marais wetu, wanatenda uovu sawa au zaidi ya hao wanaotakiwa kutia sahihi kuidhinisha Kunyongwa kwao.
 
C

chifu77

JF-Expert Member
Aug 2, 2014
904
1,000
Wafungwa si kula kulala (hasa kwa tanzania). Huko wanafanya kazi za kila aina, kilimo, ujenzi, uhunzi nk.Na mazao wanayozalisha huwa yanauzwa na nadhani chakula pia wantumia kujilisha kwa kiasi kikubwa. Magereza hutumika kama vyuo vya mafunzo vile....wanafunzwa kazi mbali mbali kwa hiyo shaka ya kodi ondoa.Mi nadhani mkosaji anayestahili adhabu ya kifo ni heri tu apewe adhabu nyingine kali mpaka ajutie kosa lake. Hata waathirika wa kosa lake labda kwa njia hiyo watapata ahueni.
Ni afadhali anyongwe mpaka kufa tu. Hiyo bla bla ya kufanyizwa kazi hamna kitu. System yetu haiko sawa, wanaweza kumwachia huru siku moja.
 
C

chifu77

JF-Expert Member
Aug 2, 2014
904
1,000
Nitawafunga na kuwafanyisha kazi ngumu na kama wanaweza kuzalisha au wana mali nitawafilisi na mali zao kuwapa ndugu waliobakia
Mkuu tusije kudanganyana hapa. Hiyo habari yako ya kufanyiza kazi ngumu na mara mtu anaachiwa huru... Ohooo. Mfumo wetu wa utoaji haki bado haujaimarika. Hapa ni kumnyonga fasta basi.
 
C

chifu77

JF-Expert Member
Aug 2, 2014
904
1,000
SILENT ACtOR;

Hakuna watu wa kuwauwa. Are you serious. Kama mtu kaua kwa kudhamiria na imethibitika hivyo. Ninyi niiteni mimi nitamshughulikia. Unamwonea huruma muuaji.. eti haki ya kuishi. Aisee
 
Last edited by a moderator:
C

Capt Nemo

JF-Expert Member
Feb 26, 2015
1,449
1,225
VoiceOfReason;

Faida ya hukumu ya kifo (na sio adhabu ya kifo) ni kuwa kuna mazingira ambayo kutokana na mambo aliyofanya mtuhumiwa, basi mahakama inaona huyu mtu kuendelea kuishi katika jamii ni hatari kwa maisha au usalama wa watu wengine kwa hiyo basi njia ya kumaliza tatizo ni kumuondoa duniani

ni kweli kabisa hukumu ya kifo inawafanya watu wapunguze (haikomeshi moja kwa moja) utendaji wa maovu (hususani mauaji) kwa kuogopa hukumu yenyewe. haikomeshi kutokana na kwamba baadhi ya mauaji yanafanyika pasipo mtu kujiuliza consequences za mauaji hayo atakayoyafanya ni nini. na hii ndiyo inayosababisha tofauti ya murder na manslaughter. kwamba mtu mwingine kwa sababu mbalimbali anajikuta keshaua then ndo anakaa na kujiuliza alichokifanya.

kuna tofauti kubwa kati ya mtu aliyefunga safari kwenda morogoro kumuua mtu na yule aliyetoka safari ghafla akaingia ndani na kumfumania mkewe na kuchukua hatua ya kumuua mmojawapo kati ya mke na hawara wa mkewe au wote wawili palepale.

katika mfano wangu jamaa aliyefunga safari anastahili kunyongwa mpaka kufa na yule wa pili mahakama lazima iwe lenient kwake kutokana na mazingira

kwa mujibu wa maelezo yangu ya awali lengo la kumhukumu mtu kunyongwa mpaka kufa sio kuadhibu bali ni kumuondoa duniani ili jamii iendelee kuishi kwa amani kwa hiyo sio kosa kumpumzisha kama unavyosema
 
R

roytmeller

Senior Member
Mar 9, 2015
109
0
Dah, nashukur sana coz nmejifunza kitu
 
nameless girl

nameless girl

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
4,127
2,000
nameless girl;

1. Kunyonga mtu kwa kwa kosa la kuua ni sawa na kurudia kosa la huyo aliyeua na kujificha nyuma ya mgongo wa sheria. HAKI NA UHURU UTOLEWA NA SHERIA WALA HAIJI BY NATURE, KWA IYO SHERIA IKISTATE, BASI HAPO HAKUNA KUJIFICHA NYUMA YA SHERIA BALI NDO SHERIA INAVOELEKEZA. KAMA MNASEMA HAKUNA SABABU YA KUONDOA UHAI WA MTU ALIYEUA , IYO HAKI INATOKA WAPI?KWA NINI ANAYEUA KWA UPANGA ASIFE KWA UPANGA??

2. Hakuna usawa wa haki nchini kwetu so watu watakaokuwa wananyongwa ni wale watakaokua wanashindwa kutoa corruption so kwa hili, tutapaswa kuita haki au mauaji? HII NI ASSUMPTION, JE NA KWA KWA MAHAKAMA INAYOFUATA HAKI NA KUTOKUWA NA CORRUPTION? JE CORRUPTION INAONDOLEWA KWA KUTONYONGA WAUAJI??

3. Nchi yetu ni masikini sana. Kumpoteza mtu mmoja katika taifa letu ni sawa na kupoteza nguvukazi ya taifa letu. Hao wanaopaswa kuuwawa wanapaswa kupewa kazi tofauti waweze kucontribute chochote kwa taifa lao. MTU AUE THEN AOMBE KUPEWA KAZI NYINGINE??KWA NINI ASINGEMUACHA MWENZIE AISHI THEN WAJENGE TAIFA PAMOJA?? TANZANIA SIO MASKINI ILA WATU WAKE NDO MASKINI

4. Nadhani art 13 inaongelea right to life. Kuwa na hii adhabu ni sawa na kufundisha jamii jinsi ya kukiuka sheria zilizowekwa.KUKIUKA SHERIA ZILIZOWEKWA NI PAMOJA NA KUKIUKA SHERIA YA KUNYONGA WAUAJI NA WENGINE WANAOSTAHILI ADHABU IYO. ARTICLE 13(1) inakataza ubaguzi, iweje mtu aue then yeye aone ana haki ya kuishi?
ibara ya 14 inasema kila mtu anayo haki ya kuishi....je kwa nini mtu aue wakati yeye anatambua haki ya mwenzie kuishi??anayekiuka haki iyo apewe tuzo au adhabu kama iyo?? Ukitetea haki ya kuishi, basi utetee na haki ya kutofungwa kama ibara ya 15 inavyoelekeza....
5. Hao watu wanaonyongwa, l believe wana watu wanaotegemewa, so killing a hero wa familia its like you kill more than one person.
...... HERO WA FAMILIA ANAYEANGAMIZA FAMILIA ZINGINE ANAFAA KUITWA HILO KATIKA ILO TAIFA?? HERO AWE NA UHALALI WA KUUA WENGINE ILA YEYE AISHI??

Hata ivo nakupongeza kwa kutumia haki yako uliyopewa na Jamhuri chini ya ibara ya 18(a)
hadi nimeshasahau ulikuwa mdahalo wa nini... eti mention napata now
 
Mchuja Nafaka G

Mchuja Nafaka G

JF-Expert Member
Oct 1, 2014
764
225
HUKUMU YA KUNYONGWA HAIJAPITWA NA WAKATI BALI INAPASWA KUBORESHWA, MFANO KUPIGWA RISASI YA UTOSINI AU NAMNA NYINGINE ILI KUPUNGUZA MAUMIVU KWA ANAYETEKELEZEWA ADHABU.

WAPIGWE RISASI au KUCHOMWA SINDANO YA SUMU
 
Ntoroke

Ntoroke

Member
Mar 31, 2014
17
0
Mimi Naona hukumu hii inafaa Kubaki Na Kutekelezwa, Hasa kwa wale Mapapa na manyangumi wa Serekali Sio wahukumiwe visamaki halafu mipapa iachwe
 
Razakyeliasy

Razakyeliasy

Member
Feb 14, 2014
9
20
Duh mi naona bora ikafutwa tu maana inapingana na haki za binadamu
 
P

Paneah

New Member
May 19, 2015
1
0
me naona bado haijapitwa na wakt coz kuna makosa yanayostahl kbs adha ya kif kama mauji ya albino,ujambazi na n.k
 
mahirtwahir

mahirtwahir

JF-Expert Member
Jan 12, 2013
577
250
hakuna hukumu kama hio kwa watu kama mafataki na wabakaji sheria zote za makosa ziko katika Uislamu hakuna kilichobakia UISLAMU NI MFUMO MZIMA WA MWANADAMU
 
Top Bottom