Adhabu ya Kunyonga Hadi Kufa imepitwa na wakati?

O

ole albert kivuyo

Member
Joined
Oct 6, 2015
Messages
7
Points
0
Age
44
O

ole albert kivuyo

Member
Joined Oct 6, 2015
7 0
I like this topic. whether death penalty should be eliminated or not. it is good firstly before arguing anything about it, to discus what does the word murder means, and for a person to be convicted of it what are the pre requisite requirements by the court of law having competent jurisdiction entertain and trial the case. What was the rationale of this punitive punishment and what if is eliminated? does it abrogate Article 14 of the Constitution? if yes what should be done. does the deceased deceive the right to life, if yes, is that right protected by the State and how. This of course is not town trip driving, we need enough time and commitment in reaching a justifiable end and solution. let us postpone until tomorrow.
 
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
82,377
Points
2,000
Age
29
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
82,377 2,000

Duh...mshikaji una Kiingereza kigumu wewe....:becky:
 
Mwandwanga

Mwandwanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2011
Messages
2,919
Points
2,000
Mwandwanga

Mwandwanga

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2011
2,919 2,000
I like this topic. whether death penalty should be eliminated or not. it is good firstly before arguing anything about it, to discus what does the word murder means, and for a person to be convicted of it what are the pre requisite requirements by the court of law having competent jurisdiction entertain and trial the case. What was the rationale of this punitive punishment and what if is eliminated? does it abrogate Article 14 of the Constitution? if yes what should be done. does the deceased deceive the right to life, if yes, is that right protected by the State and how. This of course is not town trip driving, we need enough time and commitment in reaching a justifiable end and solution. let us postpone until tomorrow.
Ungeeleweka zaidi kama ungetumia kiswahili, jf members waliacha tabia ya kuwacheka wasio jua creoli
 
K

KAMANDA MKUBWA

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
291
Points
195
K

KAMANDA MKUBWA

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
291 195
Hukumu ya kifo haisababishi watu kuogopa kuua, kuna wanaoua kwa ukichaa na wwale wanaopanga hufikiri hawatajulikana na kwa alidhamiria kuua haogopi adhabu ya kifo.Tatizo la adhabu hii ikishatelezwa haiwezi kubatilishwa hata ikigundulika kulikua na makosa, pili ni unyama hata wanaoitetea hawko tayari kuua.
 
Mantombazane

Mantombazane

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2014
Messages
488
Points
250
Mantombazane

Mantombazane

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2014
488 250
Wanasema huwezi kujua machungu ya kifo hadi siku ya zamu yako!
Kimsingi Nia ya adhabu ya kifo ni partly kumwadhibu anayekuwa ametenda kosa, lakini pia ni kutoa funzo kwa wanaobaki, wajue kuwa kosa fulani lina implication fulani, and let me tell you broda, it works out!
Mimi naona na hukumu mbovu sana. It doesn't make sense kwa kufanya kosa lilelile alilofanya mkosaji eti kumuadhibu. Kama ni hivyo basi kwanini aliyetukana naye asihukumiwe kutukanwa? Aliyepiga naye apigwe, aliyebaka naye abakwe, aliyelawiti naye alawitiwe, aliyetekamatwa ugoni naye mkewe alalwe, aliyekashifu naye akashifiwe. Waliopanga hukumu hii hawakuwaza vizuri
 
Tidito L

Tidito L

Member
Joined
Jan 23, 2011
Messages
98
Points
95
Tidito L

Tidito L

Member
Joined Jan 23, 2011
98 95
Mi nionavyo mie hukumu ya kifo iwe kwa namna fulani hv,ili mtuhumiwa ahisi uchungu kwa mfano leo tunato kidole kesho mdomo then pua mpaka mauti yanamfikia taratibu kinamna hiyo,Hata mwenye kusudio akihisi namna ya kufa kinamna hiyo hawezi tena kujaribu kutenda uovu.
 
S

Solicitor Mash

Member
Joined
Jan 10, 2016
Messages
8
Points
45
Age
49
S

Solicitor Mash

Member
Joined Jan 10, 2016
8 45
capital punishment it is mainly enacted so as to reduce the murder cases which were rarely in Tanzania so this provided to ensure demolition of such crimes so for what I think it should be stand and implemented as it is coz murdering and treason are harmful phenomenas which may alter negatively the development of any nation
So we can not allow a person who want to commits treason offence to be jailed 30 or imprisonment simply because he will plant the seed to other person who maybe will complete a certain mission.
So capital punishment is of vital using that perception
 
laurenterasmo

laurenterasmo

New Member
Joined
Dec 18, 2014
Messages
4
Points
45
laurenterasmo

laurenterasmo

New Member
Joined Dec 18, 2014
4 45
Mi nionavyo mie hukumu ya kifo iwe kwa namna fulani hv,ili mtuhumiwa ahisi uchungu kwa mfano leo tunato kidole kesho mdomo then pua mpaka mauti yanamfikia taratibu kinamna hiyo,Hata mwenye kusudio akihisi namna ya kufa kinamna hiyo hawezi tena kujaribu kutenda uovu.
Nmepitwa ila unawazo zuri kama sheria zingekua zinapitishwa na mtu mmoja tungekukoma.. Kukaa gerezan miaka 30 ni funzo tosha ndugu kalale ata polisi siku tatu utaniambia ndo iwe gerezani
 
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
82,377
Points
2,000
Age
29
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
82,377 2,000
capital punishment it is mainly enacted so as to reduce the murder cases which were rarely in Tanzania so this provided to ensure demolition of such crimes so for what I think it should be stand and implemented as it is coz murdering and treason are harmful phenomenas which may alter negatively the development of any nation
So we can not allow a person who want to commits treason offence to be jailed 30 or imprisonment simply because he will plant the seed to other person who maybe will complete a certain mission.
So capital punishment is of vital using that perception
Duh!

Wewe ni 'learned sister/ brother'?
 
Tabash yamashta

Tabash yamashta

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Messages
275
Points
250
Tabash yamashta

Tabash yamashta

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2017
275 250
Maut nikweli machungu but pia nijambo Źito sn, imekaa ktk sura nyingi ....alieuwa kwanza hafai ktk jamii atatengwa
 
E

emberegenyi

Member
Joined
Mar 6, 2017
Messages
35
Points
95
Age
50
E

emberegenyi

Member
Joined Mar 6, 2017
35 95
AnayehukumiwA kunyongwa anapata Muda wa kutubu dhambi zake akiwa gerezani hivyo ana uhakika wa kuiona mbingu according to the bible. Pia tukumbuke kuwa Kuna wanaohukumiwa kunyongwa kimakosa.
 
Beira Boy

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Messages
14,935
Points
2,000
Beira Boy

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2016
14,935 2,000
Aman iwe nanyi wapendwa

Kichwa cha habali kinajieleza vizur sana hapo naomba uhusike nacho

Kwanini marais wetu wamekuwa ni wakwepaji wakupwa juu ya adhabu za kunyongwa kwa waharifu wa mauaji hapa nchin

Mkapa alisepa pasipo hatua yeyote
Kikwete naye akasepa hivyo hivyo
Magufur naye yupo hajachukua hatua yeyote ile

Nawasiliha wakuu naomba kujua
 
kasabuku

kasabuku

Member
Joined
Dec 24, 2017
Messages
32
Points
95
kasabuku

kasabuku

Member
Joined Dec 24, 2017
32 95
Aman iwe nanyi wapendwa

Kichwa cha habali kinajieleza vizur sana hapo naomba uhusike nacho

Kwanini marais wetu wamekuwa ni wakwepaji wakupwa juu ya adhabu za kunyongwa kwa waharifu wa mauaji hapa nchin

Mkapa alisepa pasipo hatua yeyote
Kikwete naye akasepa hivyo hivyo
Magufur naye yupo hajachukua hatua yeyote ile

Nawasiliha wakuu naomba kujua
Unahasira sana kuliko mungu sio
Nikuulize hivi anaetoa hukumu ya kifo na anae tekeleza hukumu hiyo na huyu anaenyongwa nani hapo hajahusika na mauaji, ????????!!!!! hukumu iko kwa mugunu na sio mwanadum, ujue haki na sheria vi2 viwili differ kabisa

Hukumu ya kunyongwa mpaka kufa ni sawa na kulipa kisasi tu kwa kuwa tu MTU aliua.
Kifugo cha maisha ni fundisho tosha

Malipo ni kwa mungu hata akinyongwa mpaka kufa ,adhabu ya mungu iko palepale
Utafiti wa human right report WA mwak 2007 unatoa ufafanuz juu ya uteklezaji WA hukumu ya kunyogwa dhid ya haki ya kuishi inakuwa inavunjwa, hivyo hat katiba yetu ya mwk 1977 ibara ya 14 imeeleza haki ya kuishi

Kuna watu wanauua wenzao kwa makusudi lakini ujeu hillo ni pepo ufahamu wa binadamu na mungu tofauti kabisa kwa io mungu ndo anafaa kutoa hukumu.
Nawasilisha niulize km hujanielewa#
 
R

ramaSaid

New Member
Joined
Apr 9, 2018
Messages
2
Points
20
R

ramaSaid

New Member
Joined Apr 9, 2018
2 20
kifungo cha maisha inatosha,
kumnyoga mtu ni chanzo cha kuleteleza chembechembe za vitendo vya kikatili katika jamii zetu tanzania
 
Y

Yodoki II

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2014
Messages
4,311
Points
2,000
Y

Yodoki II

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2014
4,311 2,000
Mtu anayeua inampasa auawe. Kifo kinatisha tusijidanganye kwamba anapumzishwa bila kuanghaika.
 
Forum statistics

Threads 1,295,922
Members 498,479
Posts 31,228,141
Top