Baba, mwanamke havutiwi na maumbile. Anavutiwa na upendo, kuthaminiwa na emotional satisfaction. Sio kama anakunyima, unakuwa umemtoka moyoni.unless ni biashara, hatuwezagi kujilazimisha rigwaride!
Hii si adhabu nzuri kwa wapenda nao, ni chanzo cha kusalitiana!
Well said my Wii,
Sidhani kama ni adhabu, maana kama nina machungu moyoni hiyo hamu ya unyumba itatoka wapi?
Tu wepesi wa kutuliza homa na panadol lkn tunasahau kutibu infection kwa antibiotic!
Hii si adhabu nzuri kwa wapenda nao, ni chanzo cha kusalitiana!
King'asti did u really mean this??! (am ver siriaz...)Baba, mwanamke havutiwi na maumbile. Anavutiwa na upendo, kuthaminiwa na emotional satisfaction. Sio kama anakunyima, unakuwa umemtoka moyoni.unless ni biashara, hatuwezagi kujilazimisha rigwaride!
Madame B...ivi ruttashobolwa alikuambiaga mi ni mdogo wake??! ;-)By St. Paka Mweusi
Najiuliza tu alakini hapa,sasa unapomnyima ni kwa muda gani..??Na inapotokea muda wa adhabu umekwisha na yeye mnyimwaji anakasirika anasema na mimi umeniudhi kwa kunipa adhabu kisha nayeye anaendeleza kukunyima utachukua uamuzi gani..??
Nahamia kwa Kaka yake a.k.a Shemeji yangu.
Ili twende Sawa na Heshima iendelee kuwepo.
Madame B...ivi ruttashobolwa alikuambiaga mi ni mdogo wake??! ;-)
St. Paka Mweusi! Hujui Madame B alishajimuvuzisha kwangu?
Madame B...ivi ruttashobolwa alikuambiaga mi ni mdogo wake??! ;-)
Hahahahahahahaha,kamanda naona unakaba penati.......:yo:
Of course mazungumzo ndio mwake, lakini si mnakimbia nyumba na kwenda bar kisa kujiepusha na kelele za mwanamke. Source Dark City
Hata mimi nilimnyima Arushaone akanipiga chini.
Kwani njia ya mazungumzo haiwezi ikawa suluhu ya matatizo mpaka kunyimana?
King'asti did u really mean this??! (am ver siriaz...)
Of course mazungumzo ndio mwake, lakini si mnakimbia nyumba na kwenda bar kisa kujiepusha na kelele za mwanamke. Source Dark City