Aden Rage: Mwigulu Siyo msemaji Wa Lowassa

msimamo wa mwenyekiti 2015 ndio utakao kifanya ccm kiendelee kuwa hai,la sivyo ya KANU yaweza jitokeza.

Mkuu siasa za kenya ni tofauti kabisa na bongo, usisahau kua yule waliemkataa 2002 leo ndo yuko ikulu.
 

Bilion 5 kwa siku????, inaonekana hujui chochote kuhusu hizo figure.
 
Kama Mwigulu yupo kwa Kowasa, Na Tunajua wazi Nape yupo kwa Membe. Sijuhi hali ikoje huki kwenye Chama.

Unafikiri nani anapeleka mipango mibofu ya Mwigulu kwa CDM? Nape ni mropokaji ila linapokua swala la kumwanga damu kwa watu wasio kuwa na hatia kweli hausiki, Ila Mwigulu na Lowassa mmh watanzania tujiandae kulipuliwa mabomu tu kwani hawa watu hawana utu.
 
Haya mambo yanasikitisha sana kwanini tusifikishe jalada lake the Hague?
 
tatizo nyinyi CDM mnamuogopa mno mwigulu,huyu bwana anawanyima sana usingizi,na atawatesa sana maana anajua weakness zenu
 
Rage anasema Mwigulu siyo msemaji wa Lowassa na wakati yeye anamsemea Lowassa,sasa yeye ndo mke wake?Ama Lowassa hawezi kusema mwenyewe kwamba Mwigulu si msemaji wake?
 

Rage naye anyamze tu, sasa najua uhusiano uliopo kati ya "Mamvi na Savimbi"? Who knows, labda Mwigulu ni ......... wa Mamvi, tena wote ni liberali.
 

mh kwa hiyo wameamua kutoka nje kupigana? video ya bure hyo
 
JIWE WALILOLIKATAA WAASHI, LITAFANYWA KUWA JIWE KUU LA PEMBENI!.

na pia kuna mahali maneno haya yametamkwa
"HAKIKA WEWE NI MWAMBA,NA JUU YA MWAMBA HUU NITALIJENGA TAIFA LANGU!".

Kwa wale ambao mnaamini kuna vitu haviwezekani kufanyika au kutokea, nawahakikishia kuwa
"NOTHING IS IMPOSSIBLE UNDER THE SUN!.
kwa sababu
"LISILOWEZEKANA KWA BINADAMU, KWA MUNGU LINAWEZEKANA!".

Tukubali, tukatae, rais wa Tanzania kwa 2015 is the one and only "THE CHOSEN ONE!" na sio mwingine yeyote!.
Pasco
 

mmeambiwa msemaji wa fisadi ni mke wa fisadi,au nyie ni wake pia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…