vivian
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 1,749
- 1,002
Basi usichuke ya Vivian wa Fairway...nshamuwahi.... HoMe Boys ya Wazo?.........Hapo kuna Fatuma nshachukua namba zake japokuwa najua ntashea na Michael wa Wazo Cement.......Jamaa kampangishia room kabisa.
Asprin nakupa dakika tano nitake Radhi!!! sawa