Addicted to "Bar Maids"

Addicted to "Bar Maids"

Sema Uda'a, acha kulia!Kwani maeneo unayoishi hamna baa jirani? Pitia basi jioni ya leo uone Bar maids wanavyotujali!
B.EManeno ntasema nini nyie mmemaliza kila kitu...Mhhhh nlikuwa nikipita bar na Mr. najitahidkutoa macho asije akakonywezwa na hao wadada kumbe wapi...,Kumbe ndo kama alivyosema Aspirin! Huwa wanauchuna hahahahhahaha wanauchuna duh!
 
Umekalili sheria namna hiyo wewe kiboko.........husahau hata moja kha!!! Nyie wababa wabaya sana nyie

Hujambo DA?
Hapa naona ni shavu la mabaamedi tu.....sheria sio muhimu hapa....
 
Heheheh kumbe!Bac ndio maana baba nanihii kila siku ananiliza hehehe

Kumbe siko peke angu.....ngoja nitafute sababu ya kukunyamizisha, kabla sijakuliza.....
 
ayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.....!

ngoja kuna namba zake hapa.....!

halaafuuuuuuuu....una namba za irene wa bar mupya?a.k.a waaaaooooooooooooooooooh

Irene si alihamia Fyatanga....

Juma yule fundi seremala ndo alikuwa kamfanya kama mkewe....... nasikia kashaoa kabisa!
 
Irene si alihamia Fyatanga....

Juma yule fundi seremala ndo alikuwa kamfanya kama mkewe....... nasikia kashaoa kabisa!

Maseremala walisha laaniwa kwa kutengeneza msalaba wa yesu.....ulishawahi kusikia seremala tajiri?
 
mmh hizo addiction zitakufanya nawe uwe bar maid maana ukitaka kuondoka nae mpaka usaidie kukusanya viti vya baa kama wahudumu
 
Mr President,hapo bold ndipo ninapojiuliza why? Unadhani urahisi wao ndiyo kivutio chao? Mimi hapa ofisini kwangu msichana akinizoe zoe bila mpango nampiga ban! Lakini a few hours later unanikuta nakunywa Serengeti Baridi pembeni yupo Amina - Hongera Baa au Corner baa pembeni yupo Ashura.. Naweza kunywa hata bia kumi na kuondoka saa sita usiku bila hata ya kuwazia ku-do naye! why?
Baba_EnockUkweli ni kuwa bar maids hawajioni matawi ya juu unlike mademu wa ofisini or elsewhere, bar maid are very cooperative, supportive, well enganged & connected hasa unapoongelea sexual affairs, na wapo faster hawadengui, au kujiona wapo juuuu, tena unaweza kuta bar maid mremboooo still yupo open kumla fasta kama chips mayai, imagine demu la ofisini libaya linaringia elimu & anadengua, ndio maana wanaume wengii wanawafuata, na bar maids unakuta kavaa mini rojorojo na chupi pekee, unaona machine, na hawana wivu, ukila leo, akikukuta na demu mwingine hakuulizi, that is it
 
Bar maid = ukimwi .. Kwani kila mlevi anamtolea udenda!
 
Dah! Mhhhhhhhhh! Kha!
 
Back
Top Bottom