Addicted to "Bar Maids"

Addicted to "Bar Maids"

Mary amekutafuta sana pale Kerege.
aisee.........!

hivi namba za mary munisi unaweza nipatia?

nitakuwa naelekea arusha kupeleka posa nxt month.....!nataka nionane nae nikapate raha ya milele
 
Aisee umenikumbusha Mshikiz wa Etienez!
ayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.....!

ngoja kuna namba zake hapa.....!

halaafuuuuuuuu....una namba za irene wa bar mupya?a.k.a waaaaooooooooooooooooooh
 
asee baba enock....sasa ngoja kwanza....namba ya jack wa sugar rays vipi?unayo karibu?

i lv them barmaids

Ameacha kazi pale siku hizi yupo mitaa ya Kunduchi! Namba nita-kuPM
 
Mtu anakuletea kinywaji ukipendacho, kwa wakati muafaka!
Ok.....ngoja nicheki fonbuku....nimsabahi mmoja.....
 
Mhhhhh baada ya kusoma comment zote......

Nimejua mengi, nimecheka kweli ila NIMESIKITIKA sana pia kha!

Nyie wababa nyie mhhhhhh, haya tu wacha ninyamaze.
 
hivi hapa amebaki nani?

Hommie Huyu BE sijaelewa hata ajenda yake....ila huwezi kuepuka kuwapenda hawa viumbe.......

Mhhhhh baada ya kusoma comment zote......

Nimejua mengi, nimecheka kweli ila NIMESIKITIKA sana pia kha!

Nyie wababa nyie mhhhhhh, haya tu wacha ninyamaze.

Ila usilie.....
 
Mhhhhh baada ya kusoma comment zote......

Nimejua mengi, nimecheka kweli ila NIMESIKITIKA sana pia kha!

Nyie wababa nyie mhhhhhh, haya tu wacha ninyamaze.

Sema Uda'a, acha kulia!

Kwani maeneo unayoishi hamna baa jirani? Pitia basi jioni ya leo uone Bar maids wanavyotujali!
 
kwa kweli hiyo ni baraka, damn! cpati pic kabisa kabisa, halafu hawa watu wametoka makazini kutwa nzima, hao nao wameshinda wakikimbizana na kazi, wanakutana tu na kuduu, kweli kuna watu hamna vinyaa kabisa, nyie wanaume hebu niambieni, mnafanyaga kabisa kabisa kama mipango mizima mnavyofanyaga nao? romance etc, kweli mnaniudhi hamjui tu.
Nyamayao! Hapa ni kukaza msuli tu kwenye MAOMBI, hawa viumbe hawaeleweki sijui waliumbwaje dah!!
 
Ila usilie.....[/QUOTE] Kunyamaza siwezi km mambo yenyewe ndo hayo...
 
Back
Top Bottom