Bar Maids ni muhimu sana katika maisha ya wanaume walio wengi! Na honestly wanaume walio wengi wanafahamiana na Bar Maids wengi kuliko wanawake walio kwenye "proffessions" nyingine..
Kwenye phone book yangu kuna namba za Bar Maids zipatazo 40..
I'm just wondering if this is "Addiction" or what?
Wewe unakila sababu ya kufungua Bar yako maana hao Barmaids 40 wanatosha kuanza nao Bar kubwa tuuu!!! Badala ya kuwa addicted unakuwa EMPLOYER