Addicted to "Bar Maids"

lol...asikwambie mtu Fidel, hawa viumbe wana taste yao ya kipekee mkuu,
si unajua ule mtindo wa kutangulia kupiga charter mapema,
then, unabakia kusikilizia mrejesho nyuma kutoka kwa masela ambao watafuatia...............

Hahahaha na Bar yenye wahudumu wazuri wenye mvuto inauza sana kwa siku creti 200

Nimeangalia Bar zenye usajili wa Meru, Mbeya, Singida, Dom-Kondoa dah mzee ukifika saa 12 unakosa mpaka meza full nyomi
 
mmmmmmmmhhhhhh! tatizo lenu huwa mkienda bar hamfuati kinywaji tu kama wengi tunavyofikiria ndio maana mnachukua na namba za simu za hao wanaowahudumia, 'tena only maids for this matter na si kila mhudumu' kwa hiyo naamini huwa mna zaidi ya vinywaji ingekuwa kati ya hizo 40 nos za wahudumu ulizonazo angalau kuna maids 30 na wahudumu wa kiume 10 ningejua lengo ni kupata na za wanaokuhudumia nje ya nyumbani kwako lakini kwa kuwa ni wanawake tu basi wewe una zaidi ya moja! na hizo 40 nos ulizonazo wewe ujue ziko kwenye karibu kila no. ya mwanamume wa tabia yako, hamuoni kama mnahatarisha maisha yenu??? think twice nauache hiyo 'maids addiction' tena tafuta rehab ili urekebishe hiyo hali.

Hatari ipo wapi? Kuwa na namba ya msichana ni hatari kumbe? I did not know!!!

BTW: Hakuna watu wanaofahamiana na watu kwa undani kama "Bar Maids"! These "ladies" knows everything about everybody - trust me!
 
Hahahaha na Bar yenye wahudumu wazuri wenye mvuto inauza sana kwa siku creti 200

Nimeangalia Bar zenye usajili wa Meru, Mbeya, Singida, Dom-Kondoa dah mzee ukifika saa 12 unakosa mpaka meza full nyomi

ndo maana, we kama una bar yako na ukishaanza kuona imeanza kuchoka,
basi badilisha wahudumu tu, weka matoleo mapya.........
wateja haooooooooo wanamwagika kama kawa mshikaji........................
 
Hatari ipo wapi? Kuwa na namba ya msichana ni hatari kumbe? I did not know!!!

BTW: Hakuna watu wanaofahamiana na watu kwa undani kama "Bar Maids"! These "ladies" knows everything about everybody - trust me!

ndo maana kiongozi, nasikia serikali inawatumia sana katika kufanya issue za ushushushu..........................
 
Skulmeti hujanijibu swali langu.............Namba ya Josephina wa King Star bado unayo?
 
Baba Enock: there was a time when a majority of bar maids in dar were from Singida and Kondoa and good looking ones too. Is the situation still the same?
 
ndo maana, we kama una bar yako na ukishaanza kuona imeanza kuchoka,
basi badilisha wahudumu tu, weka matoleo mapya.........
wateja haooooooooo wanamwagika kama kawa mshikaji........................

Ukifanya usajili makini ukashusha vifaa toka Kondoa na Singida dah naamini mauzo yatapanda maradufu.
 
Skulmeti hujanijibu swali langu.............Namba ya Josephina wa King Star bado unayo?

Ninayo Skulimeti - Na ya Ester Na ya ... Na ya Joanista nimeshaisevu ... Hivi umeshapita mitaa ya "Home Boys"?
 
Baba Enock: there was a time when a majority of bar maids in dar were from Singida and Kondoa and good looking ones too. Is the situation still the same?

Kalabash uko wapi bana?.......siku hizi hata mashoga yapo.....pale Hongera yuko mmoja anaitwa CLAUDE
 
Baba Enock: there was a time when a majority of bar maids in dar were from Singida and Kondoa and good looking ones too. Is the situation still the same?

Mkuu Kalabash:

Vifaa siku hizi vinatoka hata Meru na Pangani na .... Ukifika dar tembelea Calabash
 
Ninayo Skulimeti - Na ya Ester Na ya ... Na ya Joanista nimeshaisevu ... Hivi umeshapita mitaa ya "Home Boys"?
Basi usichuke ya Vivian wa Fairway...nshamuwahi.... HoMe Boys ya Wazo?.........Hapo kuna Fatuma nshachukua namba zake japokuwa najua ntashea na Michael wa Wazo Cement.......Jamaa kampangishia room kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom