Chauro
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 2,968
- 1,478
Hapana Babu mi vulia wewe nyuchi yangu,majasho na uji yako abakisha kwangu bila jua wewe kisa nini eti?Sio rahisi hata kama jua wewe.
We umeumbwaje Chauro wangu?
We umeumbwaje Chauro wangu?
Kwahiyo kwisha jua mimi mambo takuwa bam-bam?Hapana Babu mi vulia wewe nyuchi yangu,majasho na uji yako abakisha kwangu bila jua wewe kisa nini eti?Sio rahisi hata kama jua wewe.
There is no 'an' addiction, an only used for visible, tangible, or countable single thing, addiction is abstract noun, it's unreasonable where u placed it. Back to topic: Bar maids hawamfuati mwanaume but wanaume ndio wanawafuata, so hata 1000 ukitaka utawapata, so is man himself alivyo jiweka ktk akili yake, bar maids ni cha wote, period
Kwahiyo kwisha jua mimi mambo takuwa bam-bam?
Mh! basi tumeumbwa tofauti............puuu!
hivi mtu unakutanaje na mtu cku hiyo hiyo na kulala na kuduu nae cku hiyo hiyo, yaani hamna kinyaa kabisa.
Pale Fairway nilipita juzi nikitoka site....wameleta kapya keupee....jizee moja liko NBC na miwani mikubwa lilikuwa nae buzy hadi saa tano naondoka bado lipo nae
tena sana sana......pweeehh hawa viumbe balaa.
Sasa hadithi hadithi si yaweza kuweka mambo bam bam?...... mara moya hapana mbaya banaHapo aongea lugha moja sasa hapana achia kikojoleo cha bibi kwa kila mtu,kama apiga hadithi tu haya lakini afungua zipu mjukuu akataa SAWA BABU.
Yani acha .......mi nikiutazama mpango wa shughuli nzima mtu ajitokee tu huko hakyanani huwa nakusanya vinyaa vyote halafu napiga lapa huwa sielewi wanawezaje?
Mkuu,
Kale kapya kanaitwa Nuriati aka Nuru - namba yake nimeshaisevu kwenye phone book!
Nyamayao: That is 1mil dollars question!
Umepunguza maneno: Ungeandika hivi:-
Unaonana naye siku hiyo, Unamnunulia Bia siku hiyo hiyo, Unamnunulia mlo siku hiyo hiyo, Mnakubaliana siku hiyo hiyo, Mna-do siku hiyo hiyo, Unamlipia kodi ya nyumba siku hiyo hiyo, na bili za maji, umeme, taka, e.t.c siku hiyo hiyo, ... yes siku hiyo hiyo!
These ladies are "special"!
Wako profesheno...ni wasafi huwezi amini!........Kama kale ka Ashura ka Nyamachabes.......we acha tu!au wanafanyaga ki juu juu tu jamani sio kama mpango wa permanento? yaani wacha tu, wanapataga hata nafac ya kujiweka safi hawa?
Sasa hadithi hadithi si yaweza kuweka mambo bam bam?...... mara moya hapana mbaya bana
Mkuu,
Kale kapya kanaitwa Nuriati aka Nuru - namba yake nimeshaisevu kwenye phone book!
tena sana sana......pweeehh hawa viumbe balaa.
Wako profesheno...ni wasafi huwezi amini!........Kama kale ka Ashura ka Nyamachabes.......we acha tu!
au wanafanyaga ki juu juu tu jamani sio kama mpango wa permanento? yaani wacha tu, wanapataga hata nafac ya kujiweka safi hawa?
Umeona eh? Babu kwisa kula chumvi mingi.... hana mazara bana...we acha ogopa babu bana.....Hahaaaaaaaaaaaa Babu,mjukuu anyoosha mikono afikiri akuweza wewe ushakula chumvi ingiiii.
Umeona eh? Babu kwisa kula chumvi mingi.... hana mazara bana...we acha ogopa babu bana.....