GE2025 ACT Wazalendo Zanzibar wanalia wizi Kura ya mapema: Watu wameletwa kwa Mabasi kupiga Kura bila mawakala ndani ya kituo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
354
Reaction score
395
Mohamed Hamis Mohamed, mgombea uwakilishi jimbo la Amani, Zanzibar kupitia chama cha ACT Wazalendo amelalamikia ukiukwaji wa utaratibu wa kupiga kura ya mapema katika kituo chake ya kupigia kura akidai kuwa kuna watu wameletwa kwa mabasi wamewaingiza ndani na kuanza kupiga kura bila uwepo wa mawakala na wakimaliza hata wino hawawapigi.

Soma: Othman Masoud: ACT-Wazalendo yakubali Kura ya Mapema Zanzibar

Ni mwanzo tu huo
 
Angeturushia picha, watu wana mobile phone na ni mgombea anatuletea maneno matupu sasa kile alichosema SACP Muliro kuwa sayansi na teknolojia haiongopi.

ACT Wazalendo majemedari na vinara wa kulinda kura wamefeli vipi kupiga picha mjongeo na picha mnato za wapiga kura hao na mabasi (vyombo) wanaozurura kutoka kituo kimoja hadi kingine kupiga kura vituo kibao
 
Nini maana ya kura ya mapema? Kwanini iwepo? Naombeni majibu tafadhali

Vikosi maalum va SMZ, Valantia (mgambo), KMKM, JWTZ, POLISI, Chuo cha Mafunzo na wote wasiojulikana, waliosombwa kutoka bara kwa kazi maalum kwa ujumla wao wote, hao ni ndiyo siku yao ya lazima chini ya usimamizi mkali kutiki mgombea wa chama kongwe tawala

1761651004822.jpeg
 
Mohamed Hamis Mohamed, mgombea uwakilishi jimbo la Amani, Zanzibar kupitia chama cha ACT Wazalendo amelalamikia ukiukwaji wa utaratibu wa kupiga kura ya mapema katika kituo chake ya kupigia kura akidai kuwa kuna watu wameletwa kwa mabasi wamewaingiza ndani na kuanza kupiga kura bila uwepo wa mawakala na wakimaliza hata wino hawawapigi.

Soma: Othman Masoud: ACT-Wazalendo yakubali Kura ya Mapema Zanzibar

Shenzi zao wasitusumbue sisi, waliahidi kwamba watalinda kura zao. Sasa walinde hizo kura!
 
Mohamed Hamis Mohamed, mgombea uwakilishi jimbo la Amani, Zanzibar kupitia chama cha ACT Wazalendo amelalamikia ukiukwaji wa utaratibu wa kupiga kura ya mapema katika kituo chake ya kupigia kura akidai kuwa kuna watu wameletwa kwa mabasi wamewaingiza ndani na kuanza kupiga kura bila uwepo wa mawakala na wakimaliza hata wino hawawapigi.

Soma: Othman Masoud: ACT-Wazalendo yakubali Kura ya Mapema Zanzibar

Si walisema watalinda kura ... Sasa wanalalakika nini. Sheikh Ponda alikuwa anadai baada ya kupiga kura wakikwambia ukakake mita 200 uwajibu wakakae wao. Sasa mbona kilio kimeanza mspema hivyo?
 
Mohamed Hamis Mohamed, mgombea uwakilishi jimbo la Amani, Zanzibar kupitia chama cha ACT Wazalendo amelalamikia ukiukwaji wa utaratibu wa kupiga kura ya mapema katika kituo chake ya kupigia kura akidai kuwa kuna watu wameletwa kwa mabasi wamewaingiza ndani na kuanza kupiga kura bila uwepo wa mawakala na wakimaliza hata wino hawawapigi.

Soma: Othman Masoud: ACT-Wazalendo yakubali Kura ya Mapema Zanzibar

Sasa hadi wanaingizwa ndani wewe umewaangalia tu
 
Mohamed Hamis Mohamed, mgombea uwakilishi jimbo la Amani, Zanzibar kupitia chama cha ACT Wazalendo amelalamikia ukiukwaji wa utaratibu wa kupiga kura ya mapema katika kituo chake ya kupigia kura akidai kuwa kuna watu wameletwa kwa mabasi wamewaingiza ndani na kuanza kupiga kura bila uwepo wa mawakala na wakimaliza hata wino hawawapigi.

Soma: Othman Masoud: ACT-Wazalendo yakubali Kura ya Mapema Zanzibar

Hawa wakae kimya tu walikubali kuingizwa mkenge na tapeli Zitto Kabwe chawa wa Samuya.
 
Vyombo vya ulinzi vya Tanzania bara wenyewe wanapiga kura lini?
Hiyo ni njia rahisi ya kuiba kura. Unajua Zenji wagombea wa urais wanapishana kwa kura chache sana kwenye kupata ushindi, hivyo CCM huwa inatumia hii njia kuongeza kura za mgombea wake. Ila msidanganyike. Zitto na mgombea wake urais wa Zanzibar, wanazuga wanachama wa ACT. Wao wanajua kinachoendelea na wanajua kabisa mgombea wao wa urais Zenji atapewa umakamu na vingora, na si ajabu wamepewa fedha nyingi sana.
 
Back
Top Bottom