ACT - Wazalendo waomba kujiunga na UKAWA

Zitto yuko talented lakini hayuko organized, hajielewi na ametawaliwa zaidi na ubinafsi, kiburi na show!. Zitto unaweza kumhamisha kwenye mission yake kwa kumsifia na kumpamba. Ameonyesha kukosa sifa za uongozi kwa sababu haonyeshi nia ya dhati ya kufikia malengo wala uchungu wa kutokufikiwa malengo.

Hayuko tayari ku sacrifice personal interests kwa maslahi ya public ambayo baadaye ingemlipa satisfactions mara mia na historia ya nchi siku zote ingemtaja kuliko kiburi, maringo na kujaribu kuharibu maslahi ya umma bila chembe ya hisia. Anaamua kusaliti mission kwa sababu tu amekosa kuabudiwa kwa kiwango anachotaka ama amepata recognition kubwa hata kama ni flattering upande pinzania, na hivyo kuwa tayari kuwageuka na kuwaua Watanzania wote ili mradi atumikie kundi haram linalomsifia hata kama ni kwa njia haram.

Baada ya matusi kwa ukawa, anataka kujiunga nao ama kwa kuwa anahitaji kuendelea kuwa ndani ya adui ili aweze kummaliza vizuri, ama anajisikia kusalitiwa na waliokuwa wanamwabudu kwa kuwa hawezi kufanya madhara zaidi kwa CHADEMA na sasa UKAWA na hivyo anaamua kuwageuka, au anarudi baada ya kuona anakuwa mpweke kwa kutengwa na hivyo anatafuta peers, au inaweza kuwa sababu yoyote.

Lakini katika mazingira ya vita vya ukombozi, watu kama Zitto hakuna mtu generali mwenye akili timamu anaweza kuwaamini kwa lolote kwa sababu hawaaminiki. Zitto amejidhirisha ni namna gani hawezi kuthamini wala kujali commitments. Ni mtu irresponsible na hawezi kuwaza mara mbili kabla hajaamua kusaliti haki kwa sababu kwake KUSIFIWA NA KUABUDIWA ndivyo vya kwanza, mengine hayana thamani.

NINAOMBA UKAWA, KAMA KUNA SABABU YA KUMJIBU, NINASHAURI MU ACKNOWLEDGE RECEIPT YA MAOMBI YAKE, LAKINI MWAMBIENI MTAJIBU MWAKANI KWA SASA MNA TIGHT SCHEDULES KIASI CHA KUKOSA UWEZEKANO WA KUINGIZA mchakato wa USAJILI WA WANACHAMA WAPYA WA UKAWA.
Comment yako imenitouch. UKAWA needs to think twice kabla hassamkaribisha Zitto . Maana a traitor is just a traitor.
 
Umeona eeh! Halafu na yule nanihii alitamka hadharani, "UKAWA ni genge la Wasaka tonge" sasa wanajitia kimbelembele eti wanataka kujiunga na UKAWA! Fukuza tu hatutaki wasaliti na wanafiki UKAWA na kuanzia sasa wajifunze kutafakari kwa kina badala ya kukurupuka na kuropoka pumba kisha kubadili kauli zao pumba.

Huyu mama hajielewi si ndio huyu aliyesema kuwa namnukuuu " NI MARUFUKU KWA MWANA-ACT YEYOTE KUSHABIKIA UKAWA"

Kweli usaliti ni sawa na mchawi
 
Mkuu Tabby mtu ambaye ni talented huwa makini sana kwenye kauli zake na matendo yake, huyu jamaa ukiangalia matendo yake na kauli zake nyingi utagundua kwamba hiyo sifa hana huwa anakurupuka sana bila kujali kauli na matendo yake zina athari zipi kwake mwenyewe na kwa jamii inayomzunguka hasa ukitilia maanani imani kubwa CHADEMA iliyoonyesha kwa huyu bwana na hatimaye kumpa nafasi ya juu ya uongozi pamoja na kuwa na umri mdogo.

Zitto yuko talented lakini hayuko organized, hajielewi na ametawaliwa zaidi na ubinafsi, kiburi na show!. Zitto unaweza kumhamisha kwenye mission yake kwa kumsifia na kumpamba. Ameonyesha kukosa sifa za uongozi kwa sababu haonyeshi nia ya dhati ya kufikia malengo wala uchungu wa kutokufikiwa malengo.

Hayuko tayari ku sacrifice personal interests kwa maslahi ya public ambayo baadaye ingemlipa satisfactions mara mia na historia ya nchi siku zote ingemtaja kuliko kiburi, maringo na kujaribu kuharibu maslahi ya umma bila chembe ya hisia. Anaamua kusaliti mission kwa sababu tu amekosa kuabudiwa kwa kiwango anachotaka ama amepata recognition kubwa hata kama ni flattering upande pinzania, na hivyo kuwa tayari kuwageuka na kuwaua Watanzania wote ili mradi atumikie kundi haram linalomsifia hata kama ni kwa njia haram.

Baada ya matusi kwa ukawa, anataka kujiunga nao ama kwa kuwa anahitaji kuendelea kuwa ndani ya adui ili aweze kummaliza vizuri, ama anajisikia kusalitiwa na waliokuwa wanamwabudu kwa kuwa hawezi kufanya madhara zaidi kwa CHADEMA na sasa UKAWA na hivyo anaamua kuwageuka, au anarudi baada ya kuona anakuwa mpweke kwa kutengwa na hivyo anatafuta peers, au inaweza kuwa sababu yoyote.

Lakini katika mazingira ya vita vya ukombozi, watu kama Zitto hakuna mtu generali mwenye akili timamu anaweza kuwaamini kwa lolote kwa sababu hawaaminiki. Zitto amejidhirisha ni namna gani hawezi kuthamini wala kujali commitments. Ni mtu irresponsible na hawezi kuwaza mara mbili kabla hajaamua kusaliti haki kwa sababu kwake KUSIFIWA NA KUABUDIWA ndivyo vya kwanza, mengine hayana thamani.

NINAOMBA UKAWA, KAMA KUNA SABABU YA KUMJIBU, NINASHAURI MU ACKNOWLEDGE RECEIPT YA MAOMBI YAKE, LAKINI MWAMBIENI MTAJIBU MWAKANI KWA SASA MNA TIGHT SCHEDULES KIASI CHA KUKOSA UWEZEKANO WA KUINGIZA mchakato wa USAJILI WA WANACHAMA WAPYA WA UKAWA.
 
Alishaambiwa na kamanda wa anga Mh. Freeman Mbowe kuwa haiwezekani.
 
Kweli wewe Kilaza, takwimu hizo umezitoa wapi? mbona sio takwimu zilizoripotiwa kwenye vyombo vya habari au na wewe umetumwa na CDM kuifuatafuata ACT. Endedleeni na ya kwenu msidandie ya wenzenu. ACT OOOOOOYYYYYEEEEE
 
Ahsante Mkuu BAK. Umesema ukweli mtupu unaomwondolea sifa ya uongozi na uzalendo. Nilisema ana kipaji nikimaanisha anaweza kutafuta taarifa, akazitumia kujenga hoja na ku communicate no matter anasimama na au against nani.

Lakini tabia ya kuwa impatient, unethical, arrogant, irresponsible, selfish, malicious na dishonesty, zinamwondolea sifa yoyote ya kuwa kiongozi na hata kumshirikisha kwenye chombo chochote cha maamuzi ama kumpa taarifa zozote za maana zinazosubiri utekelezaji kwa sababu, hana dhamira yoyote na anaweza kutumia taarifa ama nafasi hiyo kwa namna yoyote anayoona itampa sifa ama utukufu bila kujali taratibu ama athari za matendo yake kwa chama na umma wa Watanzania ambao wote macho yao yako hapo.

Mkuu Tabby mtu ambaye ni talented huwa makini sana kwenye kauli zake na matendo yake, huyu jamaa ukiangalia matendo yake na kauli zake nyingi utagundua kwamba hiyo sifa hana huwa anakurupuka sana bila kujali kauli na matendo yake zina athari zipi kwake mwenyewe na kwa jamii inayomzunguka hasa ukitilia maanani imani kubwa CHADEMA iliyoonyesha kwa huyu bwana na hatimaye kumpa nafasi ya juu ya uongozi pamoja na kuwa na umri mdogo.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Jamani mithali inasema; Usitukane wakunga ungali kigoli. zzk alitukana mno UKAWA leo anathubutuje kuwaza tu kuwa anaweza kwa kupitia hao wajinga, wasiojua waendako UKAWA yeye aweze kuleta mapinduzi Tz? Hapana, naomba uongozi wa UKAWA wamjibu vizuri tu kuwa wameipokea barua yao ila kwa sasa hatuna kikao cha pamoja siku za karibuni kwani tuko bize kujiandaa na uchaguzi mkuu ujao na pia nafasi zimeshajaa kwani wanachama weshagawana majimbo. Kama bado wataona UKAWA ndo suluhu ya kuleta maabadiliko basi watukumbushe baada ya uchaguzi mkuu ujao.
ZZK yule mliyekuwa mnasema atakisambaratisha CDM, mliyesema ana uwezo wa kuumaliza UKAWA, basi nadhani mlisahau sifa moja kuu, kwamba aweza kuyalamba matapishi yake ya juzi tena hadharani. Ptuuuuuu, mhhh
 
Huyu mama hajielewi si ndio huyu aliyesema kuwa namnukuuu " NI MARUFUKU KWA MWANA-ACT YEYOTE KUSHABIKIA UKAWA"

Kweli usaliti ni sawa na mchawi

Alisema haya maneno wakiwa kwenye ziara yake Morogoro
 
Like yangu ni kwa ajili ya comments zako baada ya habari. na si habari yenyewe.
 
Zitto aliwaita publicly viongozi wa UKAWA 'wachumia tumbo'...sasa iweje atake kujiunga na wachumia tumbo? Kama ana nia ya dhati ya kujiunga UKAWA angeanza kwanza na kuwaomba msamaha publicly kama alivyowatukana.
 
Wameshindwa kuisambaratisha chadema, wanataka wakaisambaratishe ukawa. Watasubiri sana
 
Ninachokiona hapa ni ccm kutaka kupenyeza mamluki ndani ya UKAWA. kamwe msikubali kuingiza virus ndani ya UKAWA.

Mwenyekiti Mwenza wa UKAWA, Bwana James Mbatia ni Mbunge aliyeteuliwa na Mwenyekiti wa CCM.
 
Back
Top Bottom