ACT - Wazalendo waomba kujiunga na UKAWA

Magamba maji ndio yanagonga kifuani sasa na wanaona ndani ya ukawa hakuna kabisa dalili ya kusalitiana hivyo wanaamua kutumia gia ya kupandikiza hawa jamaa baada ya 'plan A' yao kwenda mrama!
 
Huyu mama hajielewi si ndio huyu aliyesema kuwa namnukuuu " NI MARUFUKU KWA MWANA-ACT YEYOTE KUSHABIKIA UKAWA"

Kweli usaliti ni sawa na mchawi
ndio maana aya.to.lla.h anataka aongee peke yake ili wafuatiliaji wa mambo wasijue uhalisia wa hiki chama. Anachosahau ni kuwa you can fool some people so some time but you can't fool all.....!

Chanzo: Habari247

MYTAKE:
1) yaani mbwembwe zote zile za zitto na wenzake kuzunguka nchi nzima wameambulia wanachama 700 tu??? hata kura za kata moja hawajafikisha?? huu sasa utani....ndio maana zzk amekata tamaa na ziara ya pili???

2) Kwani kiongozi Mkuu zitto sialisema Ukawa ni wasakatonge??? na yeye anataka kujiunga na wasakatonge ???

3) Huyu mama sialisema "Nimarufuku Mwana Act kushabikia Ukawa"???

.....................
Professor kilaza.

Hao ni wasaliti wakubwa wa upinzani na hawatakiwi kabisa kupewa nafasi kwenye ukawa kwani wametumwa na ccm kudhoofisha ukawa
 
Magamba maji ndio yanagonga kifuani sasa na wanaona ndani ya ukawa hakuna kabisa dalili ya kusalitiana hivyo wanaamua kutumia gia ya kupandikiza hawa jamaa baada ya 'plan A' yao kwenda mrama!

Mkuu nina amini viongozi wa ukawa wana busara sana,hawawezi kupokea sumu hao act
 
Huyu mama hajielewi si ndio huyu aliyesema kuwa namnukuuu " NI MARUFUKU KWA MWANA-ACT YEYOTE KUSHABIKIA UKAWA"

Kweli usaliti ni sawa na mchawi

Siyo sawa tu bali ni wachawi kabisa wa upinzani hapa tanzania
 
ACT wazalendo mnataka kujiunga na wasaka tonge Ukawa?
 
ukawa eleni nia ya zitto ni kuja kutia vagi basi anataka roots tu.
 
Huyu mama hajielewi si ndio huyu aliyesema kuwa namnukuuu " NI MARUFUKU KWA MWANA-ACT YEYOTE KUSHABIKIA UKAWA"

Kweli usaliti ni sawa na mchawi
Watengue kwanza hiyo kauli hadharani ndipo wafikiriwe. Sasa kwa kiongozi wao yule, wakimkaribisha tu wamekwisha kwani yule yuko "kazini" Haaminiki yule na hakawii kugeuka. He is not opposition material! Mkimpokea tu, mtakuwa mmemuongezea ajenda za kwenda "kujadili kuhusu masuala ya nchi" na mkuu pale magogoni kama alivyosema yeye mwenyewe wanakutana mara kwa mara kujadili masuala ya nchi. Cha ajabu mwenzake ka kana kuwa huwa hawakutani. Sasa sijui nani mwongo hapo!
 
Zitto yuko talented lakini hayuko organized, hajielewi na ametawaliwa zaidi na ubinafsi, kiburi na show!. Zitto unaweza kumhamisha kwenye mission yake kwa kumsifia na kumpamba. Ameonyesha kukosa sifa za uongozi kwa sababu haonyeshi nia ya dhati ya kufikia malengo wala uchungu wa kutokufikiwa malengo.

Hayuko tayari ku sacrifice personal interests kwa maslahi ya public ambayo baadaye ingemlipa satisfactions mara mia na historia ya nchi siku zote ingemtaja kuliko kiburi, maringo na kujaribu kuharibu maslahi ya umma bila chembe ya hisia. Anaamua kusaliti mission kwa sababu tu amekosa kuabudiwa kwa kiwango anachotaka ama amepata recognition kubwa hata kama ni flattering upande pinzania, na hivyo kuwa tayari kuwageuka na kuwaua Watanzania wote ili mradi atumikie kundi haram linalomsifia hata kama ni kwa njia haram.

Baada ya matusi kwa ukawa, anataka kujiunga nao ama kwa kuwa anahitaji kuendelea kuwa ndani ya adui ili aweze kummaliza vizuri, ama anajisikia kusalitiwa na waliokuwa wanamwabudu kwa kuwa hawezi kufanya madhara zaidi kwa CHADEMA na sasa UKAWA na hivyo anaamua kuwageuka, au anarudi baada ya kuona anakuwa mpweke kwa kutengwa na hivyo anatafuta peers, au inaweza kuwa sababu yoyote.

Lakini katika mazingira ya vita vya ukombozi, watu kama Zitto hakuna mtu generali mwenye akili timamu anaweza kuwaamini kwa lolote kwa sababu hawaaminiki. Zitto amejidhirisha ni namna gani hawezi kuthamini wala kujali commitments. Ni mtu irresponsible na hawezi kuwaza mara mbili kabla hajaamua kusaliti haki kwa sababu kwake KUSIFIWA NA KUABUDIWA ndivyo vya kwanza, mengine hayana thamani.

NINAOMBA UKAWA, KAMA KUNA SABABU YA KUMJIBU, NINASHAURI MU ACKNOWLEDGE RECEIPT YA MAOMBI YAKE, LAKINI MWAMBIENI MTAJIBU MWAKANI KWA SASA MNA TIGHT SCHEDULES KIASI CHA KUKOSA UWEZEKANO WA KUINGIZA mchakato wa USAJILI WA WANACHAMA WAPYA WA UKAWA.
 
Kisingi kama ACT inataka kukua basi haina Budi kusimama chenyewe kwenye uchaguzi unaokuja,
Ila upande mwingine Ikisimama kama ACT itagawa kura za wana ukawa ambao wameamua kuungana.
Ila Ikiungana na ukawa watapa nafasi chache sana kusimamisha wabunge.

so Kila decision wanayoifanya itakua na pande ote kwa ACT na Ukawa.
 
Kukaribisha hicho kikundi kwenye jeshi la ukombozi nisawa nakuji sariti mwenyewe nakizazi chako,Zitto hafai kwa wazalendo ila kwa wanafiki wenzie.Aliposimama pale Kidahwe wakati wa kampeni zilizopita alisema atagombea Urais na sio Ubunge,so anataka yeye ndio atuwakilishe kupitia Ukawa? Si bora tuilejeshe hiyo hiyo Ccm mama kuliko Ccm mtoto?.Ntakuwa wakwanza kutopiga kura yoyote kama maombi ya hawa wahuni yatakubariwa ndani ya Ukawa!
 
Kisingi kama ACT inataka kukua basi haina Budi kusimama chenyewe kwenye uchaguzi unaokuja,
Ila upande mwingine Ikisimama kama ACT itagawa kura za wana ukawa ambao wameamua kuungana.
Ila Ikiungana na ukawa watapa nafasi chache sana kusimamisha wabunge.

so Kila decision wanayoifanya itakua na pande ote kwa ACT na Ukawa.

Act kamwe haiwezi kuitishia Ukawa
 
Zitto yuko talented lakini hayuko organized, hajielewi na ametawaliwa zaidi na ubinafsi, kiburi na show!. Zitto unaweza kumhamisha kwenye mission yake kwa kumsifia na kumpamba. Ameonyesha kukosa sifa za uongozi kwa sababu haonyeshi nia ya dhati ya kufikia malengo wala uchungu wa kutokufikiwa malengo.

Hayuko tayari ku sacrifice personal interests kwa maslahi ya public ambayo baadaye ingemlipa satisfactions mara mia na historia ya nchi siku zote ingemtaja kuliko kiburi, maringo na kujaribu kuharibu maslahi ya umma bila chembe ya hisia. Anaamua kusaliti mission kwa sababu tu amekosa kuabudiwa kwa kiwango anachotaka ama amepata recognition kubwa hata kama ni flattering upande pinzania, na hivyo kuwa tayari kuwageuka na kuwaua Watanzania wote ili mradi atumikie kundi haram linalomsifia hata kama ni kwa njia haram.

Baada ya matusi kwa ukawa, anataka kujiunga nao ama kwa kuwa anahitaji kuendelea kuwa ndani ya adui ili aweze kummaliza vizuri, ama anajisikia kusalitiwa na waliokuwa wanamwabudu kwa kuwa hawezi kufanya madhara zaidi kwa CHADEMA na sasa UKAWA na hivyo anaamua kuwageuka, au anarudi baada ya kuona anakuwa mpweke kwa kutengwa na hivyo anatafuta peers, au inaweza kuwa sababu yoyote.

Lakini katika mazingira ya vita vya ukombozi, watu kama Zitto hakuna mtu generali mwenye akili timamu anaweza kuwaamini kwa lolote kwa sababu hawaaminiki. Zitto amejidhirisha ni namna gani hawezi kuthamini wala kujali commitments. Ni mtu irresponsible na hawezi kuwaza mara mbili kabla hajaamua kusaliti haki kwa sababu kwake KUSIFIWA NA KUABUDIWA ndivyo vya kwanza, mengine hayana thamani.

NINAOMBA UKAWA, KAMA KUNA SABABU YA KUMJIBU, NINASHAURI MU ACKNOWLEDGE RECEIPT YA MAOMBI YAKE, LAKINI MWAMBIENI MTAJIBU MWAKANI KWA SASA MNA TIGHT SCHEDULES KIASI CHA KUKOSA UWEZEKANO WA KUINGIZA mchakato wa USAJILI WA WANACHAMA WAPYA WA UKAWA.

appreciated!!!!!!
sana tu

hamna kamanda anayetaka kuwa na wanajeshi wa hulka ya ZITTO

spinner-ani48.gif
 
Back
Top Bottom