chetambala
Member
- May 19, 2015
- 16
- 2
ACT ni ikithibitishwa sio CCM 2 wakaribishwe UKAWA otherwise ni shiiiiiiidaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nia ni kupambana na wakoloni weusi ccm, but inafika wakati inashangaza kuona wengine wanawakatalia ACT to join UKAWA. Fikiri kama CUF au Mbatia, wangekua na chuki endelevu UKAWA ingekuwapo now? Tuache UKURUNZINZA.
Act kamwe haiwezi kuitishia Ukawa
Imekula kwenu na bado mtahangaika sana mwaka huu,mkajiunge na tlp,udp ndio size zenu
ACT ni ikithibitishwa sio CCM 2 wakaribishwe UKAWA otherwise ni shiiiiiiidaaaaaaaaaaaaaaaaa
Wanatafuta sana umaarufu wasiokuwa nao wanataka kujiingiza UKAWA ili wakaendeleze usaliti wao.
yani act ni alternative ya ukawa na ccm. hasa presha kubwa ipo kwa ukawa ndio maana unaona wanatoa povu sana hapa kwakuwa wanalijua hili. kila kukicha majungu dhidi ya zitto ninavyoona huyu dogo atawaumiza sana vichwa
Ukiangalia kwa upande mmoja upo sahihi sana ila ukiangalia hili swala kwa pande zote linashida kubwa sana, just imagine ukawa wanaamua kusimamisha mgombea mmoja kila jimbo, usisahau kuna drop out kibao watakaojiunga na ACT ili tuu waweza kushinda kiti cha ubunge, na kwa namna hii msishangae ACT ikawa na wabunge wengi sana uchaguzi huu wa sasa,
Chadema mutumie akili mda mwingine mlikua mnasema act ni kwa ajili ya kugawa upinzani sasa wameomba kujiunga na ukawa ili kutoa ile fikra ya kugawa kura za ukawa. Mbona hamna jema wasingeomba je mngesemaje acheni sisa za maji taka nyambaf.
Sasa nani anahangaika na mwenzake nyi si ndio mmeleta habari za act