ACT - Wazalendo waomba kujiunga na UKAWA

Blueband

JF-Expert Member
Dec 25, 2013
668
244
Chama cha ACT-Wazalendo kimeandika barua kwa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi(UKAWA) kikiomba kujua masharti ya kujiunga ili nacho kiwe sehemu yake,imefahamika.

Katibu mkuu was ACT,Maingu Samson Mwigamba,alilithibitishia gazeti hili kwamba chama chake kilituma barua ya kuomba kujiunga UKAWA Jumamosi iliyopita,April 25,2015,kwa vyama vyote vinavyounda UKAWA lakini ile iliyokwenda CHADEMA ilirudi.

"Ni kweli kwamba tuliandika barua kwenda kwa vyama vinne vinavyounda UKAWA. Malengo ya ile barua yalikuwa mawili; moja ni kueleza nia ya kutaka kujiunga na umoja huo na pili ni kuuliza ni utaratibu zipi zinatakiwa kufuatwa kabla ya chama kuruhusiwa kujiunga na umoja huo..."

Chanzo: RAIA MWEMA 29/04/2015
 
Si ndio huyu Yuda eskarioti aliyesema kwamba ukawa ni wasaka tonge,ACT ikajiunge na bwana wake CCM atuanchie wasaka tonge wetu tuondelee nao sisi tumewakubali.
 
Chama cha ACT-Wazalendo kimeandika barua kwa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi(UKAWA) kikiomba kujua masharti ya kujiunga ili nacho kiwe sehemu yake,imefahamika.

Katibu mkuu was ACT,Maingu Samson Mwigamba,alilithibitishia gazeti hili kwamba chama chake kilituma barua ya kuomba kujiunga UKAWA Jumamosi iliyopita,April 25,2015,kwa vyama vyote vinavyounda UKAWA lakini ile iliyokwenda CHADEMA ilirudi.

"Ni kweli kwamba tuliandika barua kwenda kwa vyama vinne vinavyounda UKAWA. Malengo ya ile barua yalikuwa mawili; moja ni kueleza nia ya kutaka kujiunga na umoja huo na pili ni kuuliza ni utaratibu zipi zinatakiwa kufuatwa kabla ya chama kuruhusiwa kujiunga na umoja huo..."

Chanzo: RAIA MWEMA 29/04/2015

Uongo huo hakuna kitu kama hicho.
 
Back
Top Bottom