hivi Zitto anafikiri Watanzania ni wajinga kiasi hicho?anasahau kwamba wote tunajua kilichomfukuza ni usaliti?aanzishe ukawa yake na Mrema wa Tlp itanoga sana
ndio maana aya.to.lla.h anataka aongee peke yake ili wafuatiliaji wa mambo wasijue uhalisia wa hiki chama. Anachosahau ni kuwa you can fool some people so some time but you can't fool all.....!
Naomba kujua, hivi tofauti ya ACT-TANZANIA na ACT- WAZALENDO ni ipi?
Chanzo: Habari247
MYTAKE:
1) yaani mbwembwe zote zile za zitto na wenzake kuzunguka nchi nzima wameambulia wanachama 700 tu??? hata kura za kata moja hawajafikisha?? huu sasa utani....ndio maana zzk amekata tamaa na ziara ya pili???
2) Kwani kiongozi Mkuu zitto sialisema Ukawa ni wasakatonge??? na yeye anataka kujiunga na wasakatonge ???
3) Huyu mama sialisema "Nimarufuku Mwana Act kushabikia Ukawa"???
.....................
Professor kilaza.
Chanzo: Habari247
MYTAKE:
1) yaani mbwembwe zote zile za zitto na wenzake kuzunguka nchi nzima wameambulia wanachama 700 tu??? hata kura za kata moja hawajafikisha?? huu sasa utani....ndio maana zzk amekata tamaa na ziara ya pili???
Professor kilaza.
Huyu mama hajielewi si ndio huyu aliyesema kuwa namnukuuu " NI MARUFUKU KWA MWANA-ACT YEYOTE KUSHABIKIA UKAWA"
Kweli usaliti ni sawa na mchawi
Kitila na Mwl Kajage ambao ni viongozi wa ACT kila siku ni wa kukejeli viongozi wa Chadema na chama chenyewe ambacho ni sehemu ya Ukawa, sasa jee hauta kuwa upuuzi kuungana na mtu anaye kukejeli kila kukicha?