M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,203
- 23,020
RASMI: ACT-WAZALENDO YAMUUNGA MKONO MGOMBEA URAIS WA CHADEMA
Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Taifa, Maalim Seif Sharif Hamad ametangaza chama chao kumuidhinisha Mgombea wa CHADEMA, Tundu Lissu kuwa mgombea wao wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Maalim Seif ameyasema hayo saa chache zilizopita akiwa kwenye Kampeni katika Jimbo la Donge.
Msemaji wa ACT-Wazalendo ameithibitishia JamiiForums kuwa huu ndio msimamo wa chama.
Mapema mwezi huu, Lissu alitangaza kumuunga mkono Maalim Seif akisema Chama cha ACT-Wazalendo kinaweza kuiondoa CCM madarakani visiwani Zanzibar