Watakuwa walikuwa na vibali ila ninaona huko mitandaoni kimenuka hao jamaa mwaka jana wamelimwa fine ya kama milion 350 kwa uwindaji haramu huko sijui Marekani.Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Watanzania wengi huwa niwakurupukia mambo utadhani wana matatizo ya kiakili!
Huyo jamaa aliyeonekana ameua Mamba aliyesadikika kuwa mkubwa nchi Tanzania analindwa na sheria mbovu za uwindaji zilizopitishwa na kutungwa na kina Musukuma na wenzie wasiyojua lolote kuhusu mambo ya sheria!
Watanzania badala wailalamikie au wabunge wao na kuwauliza kwanini walipitisha sheria mbovu zinazowalinda wauaji wa wanyama wetu wao wanamsakama jamaa asiyekuwa na makosa hata kidogo!.
Niwaombe watanzania muache wivu wa kipumbavu,Acheni wageni wafurahie mema ya nchi ambapo sheria zinawalinda!
Unadhani wao ni wajinga?,Mtu kuua mnyama na kuposti tena kwa dharau yeye si fala bali sheria zinamlinda!.
Hizo chuki na wivu inapaswa mziamishie kwa Serikali yenu iliyojaa walanguzi!
Nyie wengine kama mkiwinda mnakamatwa waacheni wao wawinde na wafanye watakavyo kwasababu wabunge na serikali yenu ilitunga sheria kuwalinda!
Aisee ni wivu kabisa kuona kitoweo kinapepea ugahaibuni.Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Watanzania wengi huwa niwakurupukia mambo utadhani wana matatizo ya kiakili!
Huyo jamaa aliyeonekana ameua Mamba aliyesadikika kuwa mkubwa nchi Tanzania analindwa na sheria mbovu za uwindaji zilizopitishwa na kutungwa na kina Musukuma na wenzie wasiyojua lolote kuhusu mambo ya sheria!
Watanzania badala wailalamikie au wabunge wao na kuwauliza kwanini walipitisha sheria mbovu zinazowalinda wauaji wa wanyama wetu wao wanamsakama jamaa asiyekuwa na makosa hata kidogo!.
Niwaombe watanzania muache wivu wa kipumbavu,Acheni wageni wafurahie mema ya nchi ambapo sheria zinawalinda!
Unadhani wao ni wajinga?,Mtu kuua mnyama na kuposti tena kwa dharau yeye si fala bali sheria zinamlinda!.
Hizo chuki na wivu inapaswa mziamishie kwa Serikali yenu iliyojaa walanguzi!
Nyie wengine kama mkiwinda mnakamatwa waacheni wao wawinde na wafanye watakavyo kwasababu wabunge na serikali yenu ilitunga sheria kuwalinda!
Vitalu vya uwindaji viko kibao hakuna ngozi nyeusi wanajua hili Dili,ukiacha wageni hapa Tanzania watu wa Asili ya Asia ndio pia wanajishughulosha na hizo biashara.Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Watanzania wengi huwa niwakurupukia mambo utadhani wana matatizo ya kiakili!
Huyo jamaa aliyeonekana ameua Mamba aliyesadikika kuwa mkubwa nchi Tanzania analindwa na sheria mbovu za uwindaji zilizopitishwa na kutungwa na kina Musukuma na wenzie wasiyojua lolote kuhusu mambo ya sheria!
Watanzania badala wailalamikie au wabunge wao na kuwauliza kwanini walipitisha sheria mbovu zinazowalinda wauaji wa wanyama wetu wao wanamsakama jamaa asiyekuwa na makosa hata kidogo!.
Niwaombe watanzania muache wivu wa kipumbavu,Acheni wageni wafurahie mema ya nchi ambapo sheria zinawalinda!
Unadhani wao ni wajinga?,Mtu kuua mnyama na kuposti tena kwa dharau yeye si fala bali sheria zinamlinda!.
Hizo chuki na wivu inapaswa mziamishie kwa Serikali yenu iliyojaa walanguzi!
Nyie wengine kama mkiwinda mnakamatwa waacheni wao wawinde na wafanye watakavyo kwasababu wabunge na serikali yenu ilitunga sheria kuwalinda!
Mijadala gani? Hao wawindaji Wana leseni na wanalipwa Kodi.Aisee ni wivu kabisa kuona kitoweo kinapepea ugahaibuni.
Hata hivyo ni vizuri kwa watu kutoa maoni yao ili hao wanaotunga Sheria wapate uchungu wa kuzipitia hizo Sheria kabla ya kushangilia na kuanzisha mijadala ya kupuuza wasomi.
Sahihi kabisaNsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Watanzania wengi huwa niwakurupukia mambo utadhani wana matatizo ya kiakili!
Huyo jamaa aliyeonekana ameua Mamba aliyesadikika kuwa mkubwa nchi Tanzania analindwa na sheria mbovu za uwindaji zilizopitishwa na kutungwa na kina Musukuma na wenzie wasiyojua lolote kuhusu mambo ya sheria!
Watanzania badala wailalamikie au wabunge wao na kuwauliza kwanini walipitisha sheria mbovu zinazowalinda wauaji wa wanyama wetu wao wanamsakama jamaa asiyekuwa na makosa hata kidogo!.
Niwaombe watanzania muache wivu wa kipumbavu,Acheni wageni wafurahie mema ya nchi ambapo sheria zinawalinda!
Unadhani wao ni wajinga?,Mtu kuua mnyama na kuposti tena kwa dharau yeye si fala bali sheria zinamlinda!.
Hizo chuki na wivu inapaswa mziamishie kwa Serikali yenu iliyojaa walanguzi!
Nyie wengine kama mkiwinda mnakamatwa waacheni wao wawinde na wafanye watakavyo kwasababu wabunge na serikali yenu ilitunga sheria kuwalinda!
acha wavune mkuu kwani wana faida gani hizo takatakaNsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Watanzania wengi huwa niwakurupukia mambo utadhani wana matatizo ya kiakili!
Huyo jamaa aliyeonekana ameua Mamba aliyesadikika kuwa mkubwa nchi Tanzania analindwa na sheria mbovu za uwindaji zilizopitishwa na kutungwa na kina Musukuma na wenzie wasiyojua lolote kuhusu mambo ya sheria!
Watanzania badala wailalamikie au wabunge wao na kuwauliza kwanini walipitisha sheria mbovu zinazowalinda wauaji wa wanyama wetu wao wanamsakama jamaa asiyekuwa na makosa hata kidogo!.
Niwaombe watanzania muache wivu wa kipumbavu,Acheni wageni wafurahie mema ya nchi ambapo sheria zinawalinda!
Unadhani wao ni wajinga?,Mtu kuua mnyama na kuposti tena kwa dharau yeye si fala bali sheria zinamlinda!.
Hizo chuki na wivu inapaswa mziamishie kwa Serikali yenu iliyojaa walanguzi!
Nyie wengine kama mkiwinda mnakamatwa waacheni wao wawinde na wafanye watakavyo kwasababu wabunge na serikali yenu ilitunga sheria kuwalinda!
Alooo🙊🙊Sahihi kabisa
Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla ni kituko sana huko Dunia ya Kwanza.
Kijana anaenda kuuza ngozi ya mamba kwao kwa kibali Cha million 2 Tu
Yeye anapata zaidi ya million 59+
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!