Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,381
- 24,979
Hahahahahahahah ha boss usitume nauli eehMimi nauli uwa natuma sana. ashindwe yeye kuja tu
Hahahahahahahah ha boss usitume nauli eehMimi nauli uwa natuma sana. ashindwe yeye kuja tu
Mmh weeeeee hahahahahaha sidhaniusiwaze. Maana haujui mungu anakuepusha na nini.
mimi nikimtumia demu nauli asipokuja uwa nashukuru mungu.
Wala sigombani nae demu maana naamini kuna kitu kimeniepuka.
juzi TU kuna mmoja yupo arusha nimemtumia nauli aje dar. Kakausha. Sijamtafuta.
ha ha ha haASA unabet kwa muhindi hutaki kuliwa unataka nn
Kama haitakuathiri tuma tu...ni kama unatoa sadakakumbe!!nilitaka kutuma kesho tu nauli lindi-moro mhm nywele zimesimama dalili ya kupigwa hii nimeiona tayl.
Akishatoa huwezi rudishakwani hujasikia siku izi kuna huduma ya kurudisha muhamala bila kuwasiliana na wakala??
Achana naee anatamaaNipo ugenini katika mishe zangu za kila siku,nikaamua kumuita mchepuko wangu ambaye yuko mkoa mwingine aje ani-keep busy huku niliko.Tukakubaliana na akaomba nimtumie nauli.......baada ya masaa manne kupita baada ya kumtumia nauli,akaghairi safari...akaanza kuweka sababu mara nitakuja siku nyingine,mara mimi ndio niende huko aliko.....ameniharibia siku kweli imebidi nivunje mawasiliano. Nawasihi wale wapenda kula nauli za watu acheni tabia hizo.
Kabsa izi tafrija kwa washkaji nimehudhuria sana na nmetoa mialiko sana yani ukishaona demu uliemtegemea aje alafu ajibu/anasua sua kujibu sms au calls zako kinachofata n tafrija ya ghafla hakuna namnaHi maninja tunasema ajali kazini
ha ha ha haKabsa izi tafrija kwa washkaji nimehudhuria sana na nmetoa mialiko sana yani ukishaona demu uliemtegemea aje alafu ajibu/anasua sua kujibu sms au calls zako kinachofata n tafrija ya ghafla hakuna namna
Hayo n matumizi mabaya ya nauliYaani ni hivi, unatuma nauli m-pesa salio likisoma tu ndani ya dk 3 nalirusha tigo pesa
ha ha ha ha ni kweli mkuuPole sana mkuu, me dem akisema tuma nauli huwa namwambia chukua uber ntalipa huku akija gheto kurud ndo atapewa ya kurudia, wanawake saiv wamekua wamjin sana
ha ha ha kwa nini mkuuMchepuko kajitambua
wanaume michepuko mbona kawaida sanaKwa kweli nachukia watu wanaoendekeza michepuko, nikiwaona najisikia kutapika
Hahaaa, noma sana kokotooUlikutana na mtoto kiazi... Una kutana na wakali wa hizi kazi ukituma tu inahama mtandao wa kwanza... Inahamia wa pili, Inahamia wa Tatu mara paap imepelekwa NMB utarudisha kokoto